Fri Sep 16 2022 14:52:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 14:52:36 +03:00
parent 52f9197e44
commit c200252c32
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Sasa sikiliza neno hili la BWANA, ninyi mabaki ya Yuda. BWANA wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, 'Kama kweli mtatoka kwenda Misri, kwenda na kuishi huko, \v 16 basi upanga ambao mnauogopa utawapata huko kwenye nchi ya Misri. Njaa ambayo mnawasiwasi nayo itawafatilia huko Misri. Na mtakufa huko. \v 17 Basi itatokea kwamba wanaume wote waliondoka kwenda Misri kuishi huko watakufa kwa upanga, njaa, au pigo. Hapatakuwa na wakusalimika wao, hakuna atakayetoroka maafa ambayo nitaleta juu yao.
\v 15 Sasa sikiliza neno hili la BWANA, ninyi mabaki ya Yuda. BWANA wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, 'Kama kweli mtatoka kwenda Misri, kwenda na kuishi huko, \v 16 basi upanga ambao mnauogopa utawapata huko kwenye nchi ya Misri. Njaa ambayo mnawasiwasi nayo itawafatilia huko Misri. Na mtakufa huko. \v 17 Basi itatokea kwamba wanaume wote waliondoka kwenda Misri kuishi huko watakufa kwa upanga, njaa, au pigo. Hapatakuwa na wakusalimika, hakuna atakayetoroka maafa ambayo nitaleta juu yao.

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Kwa kuwa Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi: Kama gadhabu yangu na hasira yangu imemwanga juu ya wakazi wa Yerusalem, kwa njia hiyo hasira yangu itamwangwa juu yenu kama mtaenda Misri. Mtakuwa sababu ya hasira na hofu, sababu la kuzungumza laana, na kitu kisichokuwa na heshima. Na hamtaona eneo hili tena." \v 19 Basi Yeremia alisema, "Yahwe amezungumza kuhusu ninyi - mabaki ya Yuda. Msiende Misri! Unajua kwa hakika kwamba nimekuwa shahidi dhidi yenu leo.
\v 18 Kwa kuwa BWANA wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi: Kama vile gadhabu yangu na hasira yangu imemwanga juu ya wakazi wa Yerusalem, kwa njia hiyo hasira yangu itamwangwa juu yenu kama mtaenda Misri. Mtakuwa sababu ya hasira na hofu, sababu la kuzungumza laana, na kitu kisichokuwa na heshima. Na hamtaona eneo hili tena." \v 19 Basi Yeremia alisema, "Yahwe amezungumza kuhusu ninyi - mabaki ya Yuda. Msiende Misri! Unajua kwa hakika kwamba nimekuwa shahidi dhidi yenu leo.

View File

@ -51,6 +51,7 @@
"42-04",
"42-07",
"42-11",
"42-13"
"42-13",
"42-15"
]
}