Mon Aug 29 2022 16:40:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-29 16:40:45 +03:00
parent d59bf0926b
commit b36a69c411
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Ona, niko karibu kuwaleta kutoka nchi za kaskazini. Nitawakusanya kutoka sehemu za mbali za dunia. Vipofu na wenye ulemavu watakuwa kati kati yao; wanawake wajawazito na wale waliokaribu kujifungua wataakuwa pamoja nao. Kusanyiko kubwa litarudi hapa. \v 9 Watakuja kwa kuomboleza; nitawaongoza huku wakifanya maoambi yao. Nitawafanya wasafiri kataika mikondo ya maji katika bara bara ilinyoka. Hawatajikwaa juu yake, kwa maana nitakuwa baba kwa Israeli, na Afraimu atakuwa mzaliwa wanagau wwa kwanza
\v 8 Ona, niko karibu kuwaleta kutoka nchi za kaskazini. Nitawakusanya kutoka sehemu za mbali za dunia. Vipofu na wenye ulemavu watakuwa kati kati yao; wanawake wajawazito na wale waliokaribu kujifungua watakuwa pamoja nao. Kusanyiko kubwa litarudi hapa. \v 9 Watakuja kwa kuomboleza; nitawaongoza huku wakifanya maombi yao. Nitawafanya wasafiri katika mikondo ya maji katika bara bara ilinyoka. Hawatajikwaa juu yake, kwa maana nitakuwa baba kwa Israeli, na Efraimu atakuwa mzaliwa wangu wa kwanza