Tue Sep 06 2022 11:22:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 11:22:14 +03:00
parent d114dc105b
commit a9a992e941
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 30 Sasa umeharibiwa, utafanya nini? Japokuwa unavaa mavazi mekundu, unajipamba na mapambo ya dhahabu, na kuyafanya macho yako yaonekane makubwa na kupakwa wanja, wale wanaume waliokutamani sasa wanakukataa. Badala yake wanajaribu kukuua. \v 31 Kwa hiyo nasikia sauti ya maumivu, yenye utungu kama ya mwanamke azaaye mtoto wake wa kwanza, sauti ya binti wa Sayuni. Atwetaye kupata pumzi. Ananyosha mikono yake na kusema, 'Ole wangu mimi! ninazimia kwa sababu ya wauaji hawa.'"
\v 30 Sasa umeharibiwa, utafanya nini? Japokuwa unavaa mavazi mekundu, unajipamba na mapambo ya dhahabu, na kuyafanya macho yako yaonekane makubwa na kupakwa wanja, wajirembesha bure. Wale wanaume waliokutamani sasa wanakukataa. Badala yake wanajaribu kukuua. \v 31 Kwa hiyo nasikia sauti ya maumivu, yenye utungu kama ya mwanamke azaaye mtoto wake wa kwanza, sauti ya binti wa Sayuni. Atwetaye kupata pumzi. Ananyosha mikono yake na kusema, 'Ole wangu mimi! ninazimia kwa sababu ya wauaji hawa.'"

View File

@ -80,6 +80,7 @@
"04-19",
"04-21",
"04-23",
"04-27",
"26-title",
"26-01",
"26-04",