Tue Sep 06 2022 13:30:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 13:30:59 +03:00
parent b0e6e60cee
commit a9155579ab
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Kwa hiyo Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, "Tazama, Niko tayari kuwajaribu. Nitawajaribu nione. Jinsi gani niwezavyo kufanya kwa binti za watu wangu? \v 8 Ndimi zao ni mishale iliyochongoka; huongea vitu vya uasi. Kwa midomo yao wanatangaza amani pamoja na jirani zao, lakini katika mioyo yao wanadanganya wakati wa kusubri. \v 9 Kwa nini nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya - asema BWANA na kwa nini nisijilipizie kisasi kwa taifa ambalo liko kama hili?
\v 7 Kwa hiyo Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, "Tazama, Niko tayari kuwajaribu. Nitawajaribu nione. Jinsi gani niwezavyo kufanya kwa binti za watu wangu? \v 8 Ndimi zao ni mishale iliyochongoka; huongea vitu vya uasi. Kwa midomo yao wanatangaza amani pamoja na jirani zao, lakini katika mioyo yao wanadanganya wakati wa kusubiri. \v 9 Kwa nini nisiwaadhibu kwa sababu ya mambo haya - asema Bwana na kwa nini nisijilipizie kisasi kwa taifa ambalo liko kama hili?