Sun Nov 06 2022 16:02:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-06 16:02:27 +03:00
parent 14344f0dbe
commit a8d1b743e5
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 27 Ua madume wake wote wa ng'ombe. Washushe sehemu ya machinjio. Ole wao, maana siku yao imefika - wakati wa kuadhibiwa kwao. \v 28 Kuna sauti ya wale wanaokimbia, walionusurika, katika nchi ya Babeli. Hawa watatoa taarifa ya kisasi cha Yahwe Mungu wetu kwa Sayuni, kisasi kwa hekalu lake."
\v 27 Ua madume wake wote wa ng'ombe. Washushe sehemu ya machinjio. Ole wao, maana siku yao imefika--wakati wa kuadhibiwa kwao. \v 28 Kuna sauti ya wale wanaokimbia, walionusurika, katika nchi ya Babeli. Hawa watatoa taarifa ya kisasi cha Yahwe Mungu wetu kwa Sayuni, kisasi kwa hekalu lake."

View File

@ -1 +1 @@
\v 29 Ita wapiga pinde dhidi ya Babeli - wale wote wapindao pinde zao. Piga kambi kinyume chake, na msimwache yeyote kutoroka. Mlipeni kwa kile alichofanya. Mfanyieni kwa kipimo alichotumia. Maana amemdharau Yahwe, Mtakatifu wa Israeli. \v 30 Hivyo vijana wake wataanguka katika viwanja vya mji, na wapiganaji wake wote wataangamizwa siku hiyo - hili ni tamko la Yahwe."
\v 29 Ita wapiga pinde dhidi ya Babeli wale wote wapindao pinde zao. Piga kambi kinyume chake, na msimwache yeyote kutoroka. Mlipeni kwa kile alichofanya. Mfanyieni kwa kipimo alichotumia. Maana amemdharau Yahwe, Mtakatifu wa Israeli. \v 30 Hivyo vijana wake wataanguka katika viwanja vya mji, na wapiganaji wake wote wataangamizwa siku hiyo--hili ni tamko la Yahwe."

View File

@ -147,6 +147,7 @@
"50-19",
"50-21",
"50-23",
"50-25"
"50-25",
"50-27"
]
}