Mon Aug 15 2022 13:04:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-15 13:04:47 +03:00
parent 4238b82793
commit 9f57af7084
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Baada ya Hanania nabii kuivunja nira kutoka kwenye shingo ya Yeremia nabii, neno la Yahwe likamjia Yeremia. likisema, \v 13 Nenda ukamwambie Hanania, Yahwe anasema hivi: Uliivunja nira ya mbao, lakini badala yake nitafanya nira ya chuma.' \v 14 Kwa maana Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Nimeweka nira ya chuma shingoni mwa mataifa haya yote ili wamtumikea Nebukadreza mfalme wa Babeli, na watamtumikia. Pia nimempa wanyama wa mashambani awatawale."
\v 12 Baada ya Hanania nabii kuivunja nira kutoka kwenye shingo ya Yeremia nabii, neno la Yahwe likamjia Yeremia. likisema, \v 13 Nenda ukamwambie Hanania, Yahwe anasema hivi: Uliivunja nira ya mbao, lakini badala yake nitafanya nira ya chuma.' \v 14 Kwa maana Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Nimeweka nira ya chuma shingoni mwa mataifa haya yote ili wamtumikie Nebukadreza mfalme wa Babeli, na watamtumikia. Pia nimempa wanyama wa mashambani awatawale."

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Kisha nabii Yeremia akamwambia Hanania nabii, "Sikiliza Hanania! Yahwe hajakutuma, bali wewe mwenyewe umewasababisha watu hawa kuamini katika uongo. \v 16 Kwa hiyo Yahwe anasema hivi: Angalia, niko karibu kukutuma nje ya dunia. Mwaka huu utakufa." \v 17 Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, Hanania nabii akafa.
\v 15 Kisha nabii Yeremia akamwambia Hanania nabii, "Sikiliza Hanania! Yahwe hajakutuma, bali wewe mwenyewe umewasababisha watu hawa kuamini uongo. \v 16 Kwa hiyo Yahwe anasema hivi: Angalia, niko karibu kukutuma nje ya dunia. Mwaka huu utakufa." \v 17 Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, Hanania nabii akafa.

View File

@ -59,6 +59,7 @@
"28-01",
"28-03",
"28-05",
"28-10"
"28-10",
"28-12"
]
}