Fri Sep 16 2022 14:04:58 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 14:05:00 +03:00
parent 2a1dc01232
commit 9b951b3f77
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 42 \v 1 Kisha majemedari wote wa jeshi na Yohanani mwana wa Karea, Jezania mwana wa Hoshaia, na watu wote kutoka mdogo hadi mkubwa walimkaribia Yeremia nabii. \v 2 Walisema naye, "Acha maombi yetu yaje mbele yako. Omba kwa ajili yetu kwa Yahwe Mungu wako kwa ajili ya watu hawa ambao wanabaki kwani tuko wachache katika idadi, kama unavyoona. \v 3 Muulize BWANA Mungu wako atuambie sisi njia itupasayo kwenda na yapi yatupasayo kutenda."
\c 42 \v 1 Kisha maamiri wote wa jeshi na Yohanani mwana wa Karea, Jezania mwana wa Hoshaia, na watu wote kutoka mdogo hadi mkubwa walimkaribia Yeremia nabii. \v 2 Walisema naye, "Acha maombi yetu yaje mbele yako. Omba kwa ajili yetu kwa Yahwe Mungu wako kwa ajili ya watu hawa ambao wanabaki kwani tuko wachache katika idadi, kama unavyoona. \v 3 Muulize BWANA Mungu wako atuambie sisi njia itupasayo kwenda na yapi yatupasayo kutenda."