Tue Sep 06 2022 11:10:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 11:10:13 +03:00
parent 6d6cf40ea2
commit 9a2fa14583
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 Niliiona nchi, na kuiona! ilikuwa ukiwa na utupu. Kwa kuwa hapakuwa na taa za mbinguni. \v 24 Nilitazama katka miliima. Tazama, ilikuwa inatetemeka, na vilima vyote vilikuwa vinatikisika. \v 25 Nilitazama. Tazama, hapakuwa na mtu, na ndege wote wa angani walikuwa wamekimbia. \v 26 Nikaangalia. Tazama, mashamba yalikuwa jangwa na miji imeangushwa mbele za BWANA, mbele ya hasira yake."
\v 23 Niliiona nchi, na kuiona! ilikuwa ukiwa na utupu. Kwa kuwa hapakuwa na taa za mbinguni. \v 24 Nilitazama katika milima. Tazama, ilikuwa inatetemeka, na vilima vyote vilikuwa vinatikisika. \v 25 Nilitazama. Tazama, hapakuwa na mtu, na ndege wote wa angani walikuwa wamekimbia. \v 26 Nikaangalia. Tazama, mashamba yalikuwa jangwa na miji imeangushwa mbele za BWANA, mbele ya hasira yake."