diff --git a/33/14.txt b/33/14.txt index db20aa3..ccd4719 100644 --- a/33/14.txt +++ b/33/14.txt @@ -1 +1 @@ -\v 14 Angalia! Siku zinakuja—hili ni tangazo la Yahwe—ambapo nitafanya niliyoahidi kwa nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. \v 15 Katika siku hizo na katika wakati huo nitachipua shina la haki kwa ajili ya Daudi, na litafanya hukumu na haki katika nchi. \v 16 Katika siku hizo Yuda wataokolewa, na Yurusalemu utaishi katika usalama, kwa maana hivi ndivyo atakavyoitwa, "Yahwe ni haki yetu." \ No newline at end of file +\v 14 Angalia! Siku zinakuja—hili ni tangazo la Yahwe—ambapo nitafanya niliyoahidi kwa nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. \v 15 Katika siku hizo na katika wakati huo nitachipua shina la haki kwa ajili ya Daudi, na atafanya hukumu na haki katika nchi. \v 16 Katika siku hizo Yuda wataokolewa, na Yerusalemu utaishi katika usalama, kwa maana hivi ndivyo atakavyoitwa, "Yahwe ni haki yetu." \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index bfe1b31..f4568c8 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -131,6 +131,7 @@ "33-04", "33-06", "33-10", - "33-12" + "33-12", + "33-14" ] } \ No newline at end of file