Fri Sep 16 2022 16:00:36 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 16:00:37 +03:00
parent e3796d5f99
commit 96e8e6ac9b
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Basi nimerudia kila mara kuwatuma wote watumishi wangu manabii kwao. Niliwatuma wao kusema, 'Acha kufanya vitu hivi machukizo ambayo nachukia. \v 5 Lakini hawakunisikiliza. Walikataa kuwa makini au kuyaacha maovu kwa kuchoma ubani kwa miungu mingine. \v 6 Basi hasira yangu na gadhabu yangu zilimwanga na kuwasha moto kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Basi waliharibiwa na kuteketezwa, kama katika siku ya leo."
\v 4 Basi nimerudia kila mara kuwatuma wote watumishi wangu manabii kwao. Niliwatuma wao kusema, 'Acha kufanya machukizo ambayo nachukia. \v 5 Lakini hawakunisikiliza. Walikataa kuwa makini au kuyaacha maovu kwa kuchoma ubani kwa miungu mingine. \v 6 Basi hasira yangu na gadhabu yangu zilimwanga na kuwasha moto kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Basi waliharibiwa na kuteketezwa, kama katika siku ya leo."