Fri Sep 16 2022 12:40:57 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 12:40:59 +03:00
parent d1f2581965
commit 963d9f5e16
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Kisha ilikuwa siku ya pili baada ya kumuua Gedila, lakini hakuna mmoja aliyejua. \v 5 Wanaume baadhi walikuja toka Shechem, toka Shiloh, na toka Samaria-wanaume semanini ambayo walikuwa wamenyoa ndevu zao, walirarua nguo zao, na kujikata wenyewe- pamoja na chakula cha sadaka na ubani katika mikono yao kwenda kwa nyumba ya Yahwe.
\v 4 Kisha ilikuwa siku ya pili baada ya kumuua Gedila, lakini hakuna mmoja aliyefahamu. \v 5 Wanaume baadhi walikuja toka Shekemu, toka Shilo, na toka Samaria--wanaume themanini ambao walikuwa wamenyoa ndevu zao, walirarua nguo zao, na kujikata wenyewe-- pamoja na chakula cha sadaka na ubani katika mikono yao kwenda kwa nyumba ya Yahwe.