diff --git a/30/14.txt b/30/14.txt index 919b5ae..f613998 100644 --- a/30/14.txt +++ b/30/14.txt @@ -1 +1 @@ -\v 14 Wapenzi wako wote wamekusahau. Hawatakuangalia, kwa maana nimekujeruhi kwa jeraha la adui na nidhimu ya bwana mkatili kwa sababu ya uovu wako mwingi na dhambi zako zisizohesabika. \v 15 Kwa nini unaita msaada kwa ajili ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. kwa sambabu ya uovu wako mwingi, dhambi zako zisizohesabika, nimefanya mambo haya kwako. \ No newline at end of file +\v 14 Wapenzi wako wote wamekusahau. Hawatakuangalia, kwa maana nimekujeruhi kwa jeraha la adui na nidhimu ya bwana mkatili kwa sababu ya uovu wako mwingi na dhambi zako zisizohesabika. \v 15 Kwa nini unaita msaada kwa ajili ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. kwa sababu ya uovu wako mwingi, dhambi zako zisizohesabika, nimefanya mambo haya kwako. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 8b34474..83fbb1e 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -81,6 +81,7 @@ "30-04", "30-06", "30-08", - "30-10" + "30-10", + "30-12" ] } \ No newline at end of file