Mon Aug 29 2022 16:34:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-29 16:34:45 +03:00
parent 24f5922b7b
commit 7c12104da9
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa, bikra wa Israeli. Utachukua tena tari zako na kwenda nje michezo ya furaha. \v 5 Utapanda mizabibu tena juu ya milima Samaria; wakulima watapanda na kuweka matunda kwa ajili ya matumizi mazuri. \v 6 Kwa maana siku itakuja wakati walinzi watakapotangaza katika milima ya Efraimu, 'Inuka, twndeni juu kwenye mlimaa wa Yahwe Mungu wetu.'
\v 4 Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa, bikra wa Israeli. Utachukua tena tari zako na kwenda nje kwa ngoma za furaha. \v 5 Utapanda mizabibu tena juu ya milima Samaria; wakulima watapanda na kuweka matunda kwa ajili ya matumizi mazuri. \v 6 Kwa maana siku itakuja wakati walinzi watakapotangaza katika milima ya Efraimu, 'Inuka, twendeni juu kwenye mlima wa Yahwe Mungu wetu.'