Mon Nov 07 2022 19:35:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 19:35:27 +03:00
parent 704df48077
commit 758546f696
3 changed files with 3 additions and 10 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 9 Mmesahau maovu yaliyofanywa na mababu zenu na maouvu yaliyofanywa na wafalme wa Yuda na wake zao? Mmesahau uovu muliofanya wenyewe na wake zenu katika nchi ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu? \v 10 Hata siku hii, hawajanyenyekea bado. Hawaheshimu sheria yangu au maagizo niliyoweka mbele yao na mababu zao, wala hawatembei kati yake."
=======
\v 9 Mmesahau maovu yaliyofanywa na mababu zenu na maovu yaliyofanywa na wafalme wa Yuda na wake zao? Mmesahau uovu uliofanywa na ninyi na wake zenu katika nchi ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu? \v 10 Kwa siku hii, hawajanyenyekea bado. Hawaheshimu sheria yangu au maagizo niliyoweka mbele yao na mababu zao, wala hawatembei nazo."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 9 Mmesahau maovu yaliyofanywa na mababu zenu na maouvu yaliyofanywa na wafalme wa Yuda na wake zao? Mmesahau uovu muliofanya wenyewe na wake zenu katika nchi ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu? \v 10 Hata siku hii, hawajanyenyekea bado. Hawaheshimu sheria yangu au maagizo niliyoweka mbele yao na mababu zao, wala hawatembei kati yake."

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 11 Kwa hiyo sasa Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, "Ona, Nimekaribia kuweka uso wangu dhidi yenu kuleta maafa kwenu na kuiharibu Yuda yote. \v 12 Kwa kuwa nitachukua mabaki wa Yuda ambaye ameanza safari kwenda nchi ya Misri kuishi huko. Nitafanya hivi ili kwamba wapatekuangamia wote katika nchi ya Misri. Wataanguka kwa upanga na njaa. Kutoka kwa wadogo hadi kwa wakubwa wataangamia kwa upanga na njaa. Watakufa na watakuwa laana, kitu cha shutuma--laana na matukano.
=======
\v 11 Kwa hiyo sasa Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, "Ona, Nimekaribia kuweka uso wangu dhidi yenu kuleta maafa kwenu na kuiharibu Yuda yote. \v 12 Kwa kuwa nitachukua mabaki wa Yuda ambaye ameanza safari kwenda nchi ya Misri kuishi huko. Nitafanya hivi ili kwamba wataangamia wote katika nchi ya Misri. Wataanguka kwa upanga na njaa. Kutoka wadogo kwa wakubwa wataangamia kwa upanga na njaa. Watakufa na watakuwa sababu ya kuapa, kulaani, mashutumu, na kitu kibaya.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 11 Kwa hiyo sasa Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, "Ona, Nimekaribia kuweka uso wangu dhidi yenu kuleta maafa kwenu na kuiharibu Yuda yote. \v 12 Kwa kuwa nitachukua mabaki wa Yuda ambaye ameanza safari kwenda nchi ya Misri kuishi huko. Nitafanya hivi ili kwamba wapatekuangamia wote katika nchi ya Misri. Wataanguka kwa upanga na njaa. Kutoka kwa wadogo hadi kwa wakubwa wataangamia kwa upanga na njaa. Watakufa na watakuwa laana, kitu cha shutuma--laana na matukano.

View File

@ -270,6 +270,7 @@
"44-01",
"44-04",
"44-07",
"44-09",
"45-title",
"46-title",
"47-title",