Fri Sep 16 2022 13:48:58 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 13:48:59 +03:00
parent 59009e9434
commit 7509d5eaf9
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Basi Yeremia nabii alisema nao, "Nimewasikia, Tazama, Nitaomba kwa BWANA Mungu wenu kama mlivyoomba. Vyovyote atakavyojibu BWANA, nitawambia. Sitawaficha chochote ninyi." \v 5 Walisema na Yeremia, "Na BWANA awe shahidi mkweli na mwaminifu dhidi yenu, kama hatutafanya kila kitu ambacho BWANA Mungu wenu anatuambia kufanya. \v 6 Hata kama ni vizuri au vibaya, tutatii sauti ya BWANA Mungu wetu, ambaye tunawatuma ninyi, ili kwamba iwe vizuri pamoja nasi wakati tunatii sauti ya BWANA Mungu wetu."
\v 4 Basi Yeremia nabii alisema nao, "Nimewasikia, Tazama, Nitaomba kwa BWANA Mungu wenu kama mlivyoomba. Vyovyote atakavyojibu BWANA, nitawambia. Sitawaficha chochote ninyi." \v 5 Walisema na Yeremia, "Na BWANA awe shahidi mkweli na mwaminifu dhidi yenu, kama hatutafanya kila kitu ambacho BWANA Mungu wenu anatuambia kufanya. \v 6 Hata kama ni vizuri au vibaya, tutatii sauti ya BWANA Mungu wetu, ambaye tunawatuma ninyi, ili kwamba iwe vizuri pamoja nasi tunapotii sauti ya BWANA Mungu wetu."

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Basi ilitokea kwamba baada ya siku kumi, neno la Yahwe lilikuja kwa Yeremia. \v 8 Kwa hiyo Yeremia alimwita Yonathan mwana wa Karea na amri wote jeshi pamoja naye, na watu wote kutoka mdogo kwa mkubwa. \v 9 Na alisema nao, "Yahwe, Mungu wa Israel, ambaye umenituma mimi ili niweze kuweka maombi yako mbele zake. Yahwe asema hivi, \v 10 Kama mtarudi na kuishi katika nchi hii, basi nitawajenga na sitawararua chini; Nitapanda na sitawangoa, kwa kuwa nitageuza maafa ambayo nimeleta juu yako.
\v 7 Basi ilitokea kwamba baada ya siku kumi, neno la BWANA lilikuja kwa Yeremia. \v 8 Kwa hiyo Yeremia alimwita Yohanathan mwana wa Karea na amri wote jeshi pamoja naye, na watu wote kutoka mdogo kwa mkubwa. \v 9 Na alisema nao, "Yahwe, Mungu wa Israel, ambaye umenituma mimi ili niweze kuweka maombi yako mbele zake. Yahwe asema hivi, \v 10 Kama mtarudi na kuishi katika nchi hii, basi nitawajenga na sitawararua chini; Nitapanda na sitawangoa, kwa kuwa nitageuza maafa ambayo nimeleta juu yako.

View File

@ -47,6 +47,7 @@
"41-15",
"41-17",
"42-title",
"42-01"
"42-01",
"42-04"
]
}