From 627a05cf30e08343602c7604af82005714ee55fe Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Fri, 28 Oct 2022 12:35:41 +0300 Subject: [PATCH] Fri Oct 28 2022 12:35:40 GMT+0300 (East Africa Time) --- 46/01.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/46/01.txt b/46/01.txt index 0653a04..47fafcc 100644 --- a/46/01.txt +++ b/46/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 46 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililomjia Yeremia nabii jya mataifa. \v 2 Juu ya Misri; "Hili ni juu ya jeshi la Farao Neko, mfalme wa Misri aliyekuwako Karkemishi kando ya mto Frati. Hili ni jeshi alilolishinda Nebukadneza mfalme wa Babeli likishindwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda: \v 3 Wekeni tayari ngao ndogo na kubwa, na msonge vitani. \v 4 Watieni farasi lijamu na hatamu, na mpande juu yao, ninyi wapanda farasi. Jiwekeni mahali penu, mkiwa mmevaa helmeti vichwani mwenu. Inoweni mishale yenu na kuvaa silaha zenu. \ No newline at end of file +\c 46 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililomjia Yeremia nabii kuhusu mataifa. \v 2 Juu ya Misri; "Hili ni juu ya jeshi la Farao Neko, mfalme wa Misri aliyekuwako Karkemishi kando ya mto Frati. Hili ni jeshi alilolishinda Nebukadneza mfalme wa Babeli likishindwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda: \v 3 Wekeni tayari ngao ndogo na kubwa, na msonge vitani. \v 4 Watieni farasi lijamu na hatamu, na mpande juu yao, ninyi wapanda farasi. Jiwekeni mahali penu, mkiwa mmevaa helmeti vichwani mwenu. Inoweni mishale yenu na kuvaa silaha zenu. \ No newline at end of file