Tue Sep 06 2022 12:48:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 12:48:59 +03:00
parent ff70c6f9ad
commit 6068b12383
4 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 Kisha wamejenga mahali palipoinuka pa Tofethi ambapo pako kwenye bonde la Ben Hinomu. Walifanya hivi ili kuwachoma wana na binti zao kwenye moto - kitu ambacho mimi sikuamuru, wala kuweka jambo hilo katika akili zangu. \v 32 Kwa hiyo, tazama siku zinakuja - asema BWANA - ambapo hapataitwa tena Tofethi au bonde la Ben Hinomu. Litakuwa bonde la machinjio; watazika maiti hapo Tofethi mpaka eneo lote lienee.
\v 31 Kisha wamejenga mahali palipoinuka pa Tofethi ambapo pako kwenye bonde la Ben Hinomu. Walifanya hivi ili kuwachoma wana na binti zao kwenye moto - kitu ambacho mimi sikuamuru, wala kuweka jambo hilo katika akili zangu. \v 32 Kwa hiyo, tazama siku zinakuja - asema Bwana - ambapo hapataitwa tena Tofethi au bonde la Ben Hinomu. Litakuwa bonde la machinjio; watazika maiti hapo Tofethi mpaka eneo lote lienee.

View File

@ -1 +1 @@
\v 33 Mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa duniani, na hakutakuwa na mtu wa kuwafukuza. \v 34 Nitazikomesha katika miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalaemu sauti za kuiniuliwa na vicheko, Sauti ya bwana arusi na ya bibi arusi; kwa kuwa nchi hiyo itakuwa ukiwa."
\v 33 Mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa duniani, na hakutakuwa na mtu wa kuwafukuza. \v 34 Nitazikomesha katika miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalaemu sauti za kuinuliwa na vicheko, Sauti ya bwana arusi na ya bibi arusi; kwa kuwa nchi hiyo itakuwa ukiwa."

1
08/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 8

View File

@ -118,6 +118,9 @@
"07-24",
"07-27",
"07-29",
"07-31",
"07-33",
"08-title",
"26-title",
"26-01",
"26-04",