Thu Sep 01 2022 10:35:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-01 10:35:29 +03:00
parent 8a80440dcb
commit 5680bbc54e
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Kisha neno la Yahwe likaja kwa Yeremia, likisema, \v 13 "Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi, 'Nenda na useme kwa wanaume wa Yuda na wakaaji wa Yeruslemu, 'Hamtapokea maelekezo na kulisikiliza neno langu? —hili ni tangazo la Yahwe. \v 14 Maneno ya Yonadabu mwana wa Rekabu aliyowapa wanawe kama amri. wasinywe divai yoyote, yameheshimiwa hadi leo. Wameitii amri ya babu yao. Lakini mimi, nimekuwa nikifanya matangazo kwenu bila kukoma, lakini hamnisikilizi. \v 12 Kisha neno la Yahwe likaja kwa Yeremia, likisema, \v 13 "Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi, 'Nenda na useme kwa wanaume wa Yuda na wakaaji wa Yeruslemu, 'Hamtapokea maelekezo na kulisikiliza neno langu? —hili ni tangazo la Yahwe. \v 14 Maneno ya Yonadabu mwana wa Rekabu aliyowapa wanawe kama amri, wasinywe divai yoyote, yameheshimiwa hadi leo. Wameitii amri ya babu yao. Lakini mimi, nimekuwa nikifanya matangazo kwenu bila kukoma, lakini hamnisikilizi.