Wed Oct 12 2022 11:19:52 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-12 11:19:53 +03:00
parent 12095e528b
commit 55266609be
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Basi Ishmaeli mwana wa Nethania alienda toka Mizpa kukutana nao kama walivyoenda, wakitembea na kulia. Kisha ilitokea kwamba kama alivyokutana nao, alisema nao, "Njoo kwa Gedalia mwana wa Ahikam!" \v 7 Ilikuja kuwa kwamba wakati walipokuja katika mji, Ishmaeil mwana wa Nethania aliwauwa na kuwatupa kwenye shimo, yeye na wanaume ambao walikuwa pamoja naye.
\v 6 Basi Ishmaeli mwana wa Nethania alienda toka Mizpa kukutana nao kama walivyoenda, wakitembea na kulia. Kisha ilitokea kwamba kama alivyokutana nao, alisema nao, "Njoo kwa Gedalia mwana wa Ahikamu!" \v 7 Ilikuja kuwa kwamba wakati walipokuja katika mji, Ishmaeli mwana wa Nethania aliwauwa na kuwatupa kwenye shimo, yeye na wanaume ambao walikuwa pamoja naye.

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Lakini palikuwa na wanaume kumi miongoni mwao ambao walisema kwa Ishmael, " Usituue, kwa kuwa kuna riziki zetu kwenye shamba: ngano na shayiri, mafuta na asili" Kwa hiyo hakuwauwa pamoja na rafiki zao wengine. \v 9 Kisima ambacho Ishmael alitupa miili yote ya waliokufa ambaye yeye na Gedalia waliwapiga, kilikuwa ni kilekile ambacho mfalme Asa alichimba wakati alipokuwa akivamiwa na mfalme Baasha wa Israel. Ishmael mwana wa Nethania alilijaza wale ambao walikuwa wameuawa.
\v 8 Lakini palikuwa na wanaume kumi miongoni mwao ambao walisema kwa Ishmael, " Usituue, kwa kuwa kuna riziki zetu kwenye shamba: ngano na shayiri, mafuta na asali" Kwa hiyo hakuwauwa pamoja na rafiki zao wengine. \v 9 Kisima ambacho Ishmael alitupa miili yote ya waliokufa ambaye yeye na Gedalia waliwapiga, kilikuwa ni kilekile ambacho mfalme Asa alichimba wakati alipokuwa akivamiwa na mfalme Baasha wa Israel. Ishmael mwana wa Nethania alilijaza wale ambao walikuwa wameuawa.

View File

@ -489,6 +489,7 @@
"40-15",
"41-title",
"41-01",
"41-04"
"41-04",
"41-06"
]
}