diff --git a/41/15.txt b/41/15.txt index 372913e..745d915 100644 --- a/41/15.txt +++ b/41/15.txt @@ -1 +1 @@ -\v 15 Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania alitoroka na wanaume wanane toka kwa Yonathani. Alienda kwa watu wa Ammoni. \v 16 Yonathani mwana wa Karea na amri jeshi pamoja naye walichukua toka Mizpa watu wote ambao walikuwa wameokolewa kutoka kwa Ishmaeli mwana wa Nethania. Hii ilikuwa baada ya Ishmael kuwa amemuuwa Gedalia mwana wa Ahikam. Yonathan na rafiki zake walichukua wanaume shujaa, wanaume wapiganaji, wanawake na watoto, na mtoashi ambaye alikuwa ameokolewa huko Gibeoni. \ No newline at end of file +\v 15 Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania alitoroka na wanaume nane toka kwa Yonathani. Alienda kwa watu wa Ammoni. \v 16 Yonathani mwana wa Karea na amri jeshi pamoja naye walichukua toka Mizpa watu wote ambao walikuwa wameokolewa kutoka kwa Ishmaeli mwana wa Nethania. Hii ilikuwa baada ya Ishmaeli kuwa amemuuwa Gedalia mwana wa Ahikamu. Yonathani na rafiki zake walichukua wanaume shujaa, wanaume wapiganaji, wanawake na watoto, na mtoashi ambaye alikuwa ameokolewa huko Gibeoni. \ No newline at end of file