Mon Nov 07 2022 19:39:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 19:39:27 +03:00
parent 5fc7d24472
commit 51b2b25442
3 changed files with 3 additions and 10 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 15 Kisha watu wote ambao walijua kwamba wake zao walikuwa wakichoma ubani kwa miungu mingine, na wanawake wote waliokuwa katika kusanyiko kuu, na watu wote ambao walikuwa wakiishi kwenye nchi ya Misri katika Pathrosi walimjibu Yeremia. \v 16 Walisema, "Kuhusu neno ambalo umetuambia sisi kwa jina la Yahwe: Hatutakusikiliza. \v 17 Kwa hakika tutafanya mambo yote ambayo tulisema tuntafanya-- kuchoma ubani kwa malkia wa mbingu na kumwaga kinywaji cha sadaka kwake kama sisi, mababu zetu, wafalme wetu, na viongozi wetu walivyofanya kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Kisha tutajazwa pamoja na chakula na tutafanikiwa, pasipo kupata maafa yoyote.
=======
\v 15 Kisha watu wote ambao walijua kwamba wake zao walikuwa wakichoma ubani kwa miungu mingine, na wanawake wote waliokuwa katika kusanyiko kuu, na watu wote ambao walikuwa wakiishi kwenye nchi ya Misri katika Pathrosi walimjibu Yeremia. \v 16 Walisema, "Kuhusu neno ambalo mmetuambia sisi kwa jina la Yahwe: Hatutakusikiliza. \v 17 Kwa hakika tutafanya mambo yote ambayo tulisema tungefanya: kuchoma ubani kwa malkia wa mbingu na kumwaga kinywaji cha sadaka kwake kama sisi, mababu zetu, wafalme wetu, na viongozi wetu walivyofanya kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Kisha tutajazwa pamoja na chakula na tutafanikiwa, pasipo kupata maafa yoyote.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 15 Kisha watu wote ambao walijua kwamba wake zao walikuwa wakichoma ubani kwa miungu mingine, na wanawake wote waliokuwa katika kusanyiko kuu, na watu wote ambao walikuwa wakiishi kwenye nchi ya Misri katika Pathrosi walimjibu Yeremia. \v 16 Walisema, "Kuhusu neno ambalo umetuambia sisi kwa jina la Yahwe: Hatutakusikiliza. \v 17 Kwa hakika tutafanya mambo yote ambayo tulisema tuntafanya-- kuchoma ubani kwa malkia wa mbingu na kumwaga kinywaji cha sadaka kwake kama sisi, mababu zetu, wafalme wetu, na viongozi wetu walivyofanya kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Kisha tutajazwa pamoja na chakula na tutafanikiwa, pasipo kupata maafa yoyote.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 18 Tulipojiepusha kufanya mambo haya, kutotoa sadaka ya ubani kwa malkia wa mbingu na kutomwanga kinywaji cha sadaka kwake, tulikuwa wote tunateswa na umaskini na tulikuwa tunakufa kwa upanga na njaa." \v 19 Wanawake walisema, "Wakati tulipokuwa tunatengeneza ubani wa sadaka mbele ya malkia wa mbingu na kumwaga kinywaji cha sadaka kwake, ilikuwa ni kinyume dhidi ya waume zetu kwa kutengeneza keki kwa sura yake na kumwanga sadaka ya kinywaji kwake?"
=======
\v 18 Wakati tunajiepusha kutofanya mambo haya, si kutoa sadaka ya ubani kwa Malkia wa mbinguni na si kumwaga kinywaji cha sadaka kwake, tulikuwa wote tunaumwa umaskini na tulikuwa tunakufa kwa upanga na njaa." \v 19 Wanawake walisema, "Wakati tulipokuwa tunatengeneza ubani wa sadaka mbele ya Malkia wa Mbinguni na kumwaga kinywaji cha sadaka kwake, tulifanya hivi vitu pasipo waume wetu kujua."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 18 Tulipojiepusha kufanya mambo haya, kutotoa sadaka ya ubani kwa malkia wa mbingu na kutomwanga kinywaji cha sadaka kwake, tulikuwa wote tunateswa na umaskini na tulikuwa tunakufa kwa upanga na njaa." \v 19 Wanawake walisema, "Wakati tulipokuwa tunatengeneza ubani wa sadaka mbele ya malkia wa mbingu na kumwaga kinywaji cha sadaka kwake, ilikuwa ni kinyume dhidi ya waume zetu kwa kutengeneza keki kwa sura yake na kumwanga sadaka ya kinywaji kwake?"

View File

@ -273,6 +273,7 @@
"44-09",
"44-11",
"44-13",
"44-15",
"45-title",
"46-title",
"47-title",