Thu Sep 01 2022 09:35:27 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-01 09:35:28 +03:00
parent c9c3859aca
commit 4ea4627d47
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Neno la Yahwe likaja kwa Yeremia, likisema, \v 20 "Yahwe anasema hivi: 'Kama mkiweza kulivunja agano langu la mchana na usiku ili kwamba siku isikawie wala usiku usikawie kuja kwa wakati wake, \v 21 basi mtaweza kulivunja agano langu na Daudi mtumishi wangu, ili kwamba asipate mwana wa kuketi juu ya kiti chake cha enzi, na agano langu na makuhuni wa Kilawi, watumishsi wangu. \v 22 Kama vile majeshsi ya mbinguni yasivyoweza kuhesabika, na kama vile mchanga wa ufukwe wa bahari usivyoweza kupimwa, ndivyo nitakavyouongeza uzao wa Daudi mtumishi wangu na Walawi watumikao mbele zangu."
\v 19 Neno la Yahwe likaja kwa Yeremia, likisema, \v 20 "Yahwe anasema hivi: 'Kama mkiweza kulivunja agano langu la mchana na usiku ili kwamba siku isikawie wala usiku usikawie kuja kwa wakati wake, \v 21 basi mtaweza kulivunja agano langu na Daudi mtumishi wangu, ili kwamba asipate mwana wa kuketi juu ya kiti chake cha enzi, na agano langu na makuhuni wa Kilawi, watumishi wangu. \v 22 Kama vile majeshi ya mbinguni yasivyoweza kuhesabika, na kama vile mchanga wa ufukwe wa bahari usivyoweza kupimwa, ndivyo nitakavyouongeza uzao wa Daudi mtumishi wangu na Walawi watumikao mbele zangu."

View File

@ -133,6 +133,7 @@
"33-10",
"33-12",
"33-14",
"33-17"
"33-17",
"33-19"
]
}