diff --git a/32/31.txt b/32/31.txt index 564e124..713c4dd 100644 --- a/32/31.txt +++ b/32/31.txt @@ -1 +1 @@ -\v 31 Yahwe anatangaza kwamba mji huu umekuwa sababu ya hasira yangu na ghadhabu yangu tangu siku walipoujenga. Umekuwa hivyo hata leo. Kwa hiyo nitaundoa mbele ya uso wangu \v 32 kwa sababu ya uovu wote wa watu wa Israeli na Yuda, mambo waliyofanya ili kunichukiza—wao, wafalme wao, wana wa wafalme, makuhani, manabii, na kila mtu katika Yuda na wakaaji wa Yerusalemu. \ No newline at end of file +\v 31 Yahwe anatangaza kwamba mji huu umekuwa sababu ya hasira yangu na ghadhabu yangu tangu siku walipoujenga. Umekuwa hivyo hata leo. Kwa hiyo nitauondoa mbele ya uso wangu \v 32 kwa sababu ya uovu wote wa watu wa Israeli na Yuda, mambo waliyofanya ili kunichukiza—wao, wafalme wao, wana wa wafalme, makuhani, manabii, na kila mtu katika Yuda na wakaaji wa Yerusalemu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 05e70ef..6c9e1ab 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -119,6 +119,7 @@ "32-22", "32-24", "32-26", - "32-29" + "32-29", + "32-31" ] } \ No newline at end of file