Mon Nov 07 2022 19:49:27 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
ef25f62ff3
commit
44ececb330
|
@ -1,5 +1 @@
|
|||
<<<<<<< HEAD
|
||||
\c 46 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililomjia Yeremia nabii kuhusu mataifa. \v 2 Juu ya Misri; "Hili ni juu ya jeshi la Farao Neko, mfalme wa Misri aliyekuwako Karkemishi kando ya mto Frati. Hili ni jeshi alilolishinda Nebukadneza mfalme wa Babeli likishindwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda: \v 3 Wekeni tayari ngao ndogo na kubwa, na msonge mbele vitani. \v 4 Watieni farasi lijamu na hatamu, na mpande juu yao, ninyi wapanda farasi. Jiwekeni mahali penu, mkiwa mmevaa helmeti vichwani mwenu. Inoweni mishale yenu na kuvaa silaha zenu.
|
||||
=======
|
||||
\c 46 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililomjia Yeremia nabii juu ya mataifa. \v 2 Juu ya Misri; "Hili ni juu ya jeshi la Farao Neko, mfalme wa Misri aliyekuwako Karkemishi kando ya mto Frati. Hili ni jeshi alilolishinda Nebukadneza mfalme wa Babeli likishindwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda: \v 3 Wekeni tayari ngao ndogo na kubwa, na msonge vitani. \v 4 Watieni farasi lijamu na hatamu, na mpande juu yao, ninyi wapanda farasi. Jiwekeni mahali penu, mkiwa mmevaa kofia vichwani mwenu. Inoweni mishale yenu na kuvaa silaha zenu.
|
||||
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
|
||||
\c 46 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililomjia Yeremia nabii kuhusu mataifa. \v 2 Juu ya Misri; "Hili ni juu ya jeshi la Farao Neko, mfalme wa Misri aliyekuwako Karkemishi kando ya mto Frati. Hili ni jeshi alilolishinda Nebukadneza mfalme wa Babeli likishindwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda: \v 3 Wekeni tayari ngao ndogo na kubwa, na msonge mbele vitani. \v 4 Watieni farasi lijamu na hatamu, na mpande juu yao, ninyi wapanda farasi. Jiwekeni mahali penu, mkiwa mmevaa helmeti vichwani mwenu. Inoweni mishale yenu na kuvaa silaha zenu.
|
|
@ -1,5 +1 @@
|
|||
<<<<<<< HEAD
|
||||
\v 5 Ninaona nini hapa? Wana woga na wanakimbia, maana askari wao wameshindwa kabisa. Wanakimbia kwa usalama na hawaangalii nyuma. Kitisho kipo mahali pote--ili ni tamko la Yahwe-- \v 6 wepesi hawawezi kukimbia, na askari hawezi kukwepa. Wana jikwaa kaskazini na kuanguka kando ya mto Frati.
|
||||
=======
|
||||
\v 5 Ninaona nini hapa? Wana woga na wanakimbia, maana askari wao wameshindwa. Wanakimbia kwa usalama na hawaangalii nyuma. Kitisho kipo mahali pote - hili ni tamko la Yahwe - \v 6 wepesi hawawezi kukimbia, na askari hawezi kukwepa. Wanajikwaa kaskazini na kuanguka kando ya mto Frati.
|
||||
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
|
||||
\v 5 Ninaona nini hapa? Wana woga na wanakimbia, maana askari wao wameshindwa kabisa. Wanakimbia kwa usalama na hawaangalii nyuma. Kitisho kipo mahali pote--ili ni tamko la Yahwe-- \v 6 wepesi hawawezi kukimbia, na askari hawezi kukwepa. Wana jikwaa kaskazini na kuanguka kando ya mto Frati.
|
|
@ -1,5 +1 @@
|
|||
<<<<<<< HEAD
|
||||
\v 7 Ni nani huyu ainukaye kama Nile, ambaoye maji yake yanaruka juu na chini kama mito? \v 8 Misri huinuka kama mto Nile, na maji yake yanaumuka juu na chini kama mito. Misri inasema, 'nitapanda juu na nitaifunika nchi. Nitaiharibu miji na watu wakaao ndani yake. \v 9 Nyanyukeni, farasi. Iweni na hasira, enyi magari ya vita. Askari na waende, Kushi na Putu, watu walio na ujuzi wa ngao, na Ludimu, watu wenye ujuzi wa kupiga pinde zao.
|
||||
=======
|
||||
\v 7 Ni nani hawa wainukao kama mto Nili, ambao maji yao yanaruka juu na chini kama mito? \v 8 Misri huinuka kama mto Nili, na maji yake yanaumuka juu na chini kama mito. Anasema, 'nitapanda juu; nitaifunika nchi. Nitaiharibu miji na watu wake. \v 9 Inukeni, farasi. Mwe na hasira, ninyi vibandawazi. Askari na waende, Kushi na Putu, watu walio na ujuzi wa ngao, na Ludimu, watu wenye ujuzi wa kupiga pinde zao.
|
||||
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
|
||||
\v 7 Ni nani huyu ainukaye kama Nile, ambaoye maji yake yanaruka juu na chini kama mito? \v 8 Misri huinuka kama mto Nile, na maji yake yanaumuka juu na chini kama mito. Misri inasema, 'nitapanda juu na nitaifunika nchi. Nitaiharibu miji na watu wakaao ndani yake. \v 9 Nyanyukeni, farasi. Iweni na hasira, enyi magari ya vita. Askari na waende, Kushi na Putu, watu walio na ujuzi wa ngao, na Ludimu, watu wenye ujuzi wa kupiga pinde zao.
|
|
@ -284,6 +284,9 @@
|
|||
"45-01",
|
||||
"45-04",
|
||||
"46-title",
|
||||
"46-01",
|
||||
"46-05",
|
||||
"46-07",
|
||||
"47-title",
|
||||
"48-title",
|
||||
"48-13",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue