Thu Sep 01 2022 12:59:36 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-01 12:59:37 +03:00
parent 476e7c5068
commit 41c365455e
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Sasa Ebed Meleki Mkushi alikuwa mmoja wa watowashi katika nyumba ya mfalme. Alisikia kwamba walikuwa wamemuweka Yeremia kwenye kisima. Sasa mfalme alikuwa ameketi kwa mlango wa Benyamini. \v 8 Basi Ebed Meleki alienda toka nyumba ya mfalme na kuzungumza na mfalme. \v 9 Alisema, "Bwana wangu mfalme, hawa wanaume wamefanya uovu kwa namna walivyomtendea Yeremia nabii. Walimtupa kwenye kisima kwa ajili ya kufa kutokana na njaa, tangu hakuna chakula zaidi katika mji."
\v 7 Sasa Ebed Meleki Mkushi alikuwa mmoja wa watowashi katika nyumba ya mfalme. Alisikia kwamba walikuwa wamemuweka Yeremia kwenye kisima. Sasa mfalme alikuwa ameketi kwa mlango wa Benyamini. \v 8 Basi Ebed Meleki alienda toka nyumba ya mfalme na kuzungumza na mfalme. Alisema \v 9 "Bwana wangu mfalme, hawa wanaume wamefanya uovu kwa namna walivyomtendea Yeremia nabii. Walimtupa kwenye kisima kwa ajili ya kufa kutokana na njaa, tangu hakuna chakula zaidi katika mji."

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Kisha mfalme alitoa amri kwa Ebed Meleki Mkushi. Alisema, "Chukua amri ya watu thelasini kutoka hapa na mtoe Yeremia nabii nje ya kisima kabla hajafa." \v 11 Basi Ebed Meleki alichukua amri ya watu hao na akaenda nyumba ya mfalme, kwenye ghala la nguo chini ya nyumba. Toka hapo alichukua vitambaa na nguo zilizochanika na kuyashusha chini kwa kamba kwa Yeremia ndani ya kisima.
\v 10 Kisha mfalme alitoa amri kwa Ebed Meleki Mkushi. Alisema, "Chukua amri ya watu thelathini kutoka hapa na mtoe Yeremia nabii nje ya kisima kabla hajafa." \v 11 Basi Ebed Meleki alichukua amri ya watu hao na akaenda nyumba ya mfalme, kwenye ghala la nguo chini ya nyumba. Toka hapo alichukua vitambaa na nguo zilizochanika na kuyashusha chini kwa kamba kwa Yeremia ndani ya kisima.

View File

@ -182,6 +182,7 @@
"38-title",
"38-01",
"38-04",
"38-06"
"38-06",
"38-07"
]
}