Sun Nov 06 2022 16:14:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-06 16:14:28 +03:00
parent 6d51c36752
commit 3e454f1ab1
3 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 41 "Tazama, watu wanakuja kutoka kaskazini, maana taifa kubwa na wafalme wengi wamemtikisa kutokea mbali. \v 42 Watachukua pinde na mishale. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama mngurumo wa bahari, na wamepanda farasi katika mpangilio kama watu wapiganao, dhidi yako, bindi Babeli. \v 43 Mfalme wa Babeli amesikia habari yao na mikono yake imelegea kwa huzuni. Mashaka yamemshika kama mwanamke katika utungu.
\v 41 "Tazama, watu wanakuja kutoka kaskazini, maana taifa kubwa na wafalme wengi wamemtikisa kutokea mbali. \v 42 Watachukua pinde na mishale. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama mngurumo wa bahari, na wamepanda farasi katika mpangilio kama watu wapiganao, dhidi yako, binti Babeli. Mfalme wa Babeli amesikia habari yao na mikono yake imelegea kwa huzuni. Mashaka yamemshika kama mwanamke katika utungu.

1
50/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
mfalme wa Babeli alisikia taa

View File

@ -153,6 +153,7 @@
"50-31",
"50-33",
"50-35",
"50-38"
"50-38",
"50-41"
]
}