Wed Sep 07 2022 15:51:42 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-07 15:51:42 +03:00
parent 610a47e110
commit 3cc4fd835e
4 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 Kwa hiyo Bwana asema hivi juu ya watu wa Anathothi, wanaotafuta uhai wako, "wanasema, 'Usifanye unabii kwa jina la Bwana, usije ukufa kwa mkono wetu.' \v 22 Kwa hiyo Bwana wa majeshi asema hivi, 'Tazameni, nitawaadhibu. Vijana wao wenye nguvu watakufa kwa upanga. Wana wao na binti zao watakufa kwa njaa. \v 23 Hakuna hata mmoja atakayeachwa, kwa maana nitaleta maafa dhidi ya watu wa Anathothi, mwaka wa adhabu yao.'"
\v 21 Kwa hiyo Bwana asema hivi juu ya watu wa Anathothi, wanaotafuta uhai wako, "wanasema, 'Usifanye unabii kwa jina la Bwana, usije ukafa kwa mkono wetu.' \v 22 Kwa hiyo Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, 'Tazameni, nitawaadhibu. Vijana wao wenye nguvu watakufa kwa upanga. Wana wao na binti zao watakufa kwa njaa. \v 23 Hakuna hata mmoja atakayeachwa, kwa maana nitaleta maafa dhidi ya watu wa Anathothi, mwaka wa adhabu yao.'"

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Wewe ni mwenye haki, Bwana, wakati wowote ninapoleta mashitaka kwako. Lazima nikuambie sababu yangu ya kulalamika: Kwa nini njia za waovu hufanikiwa? Watu wote wasiokuwa na imani wanafanikiwa. \v 2 Wewe uliwapanda nao wakawa na mizizi. Wanaendelea kuzaa matunda. Wewe upo karibu nao katika vinywa vyao, lakini mbali na mioyo yao.
\c 12 \v 1 Wewe ni mwenye haki, Bwana, wakati wowote ninapoleta mashtaka kwako. Lazima nikuambie sababu yangu ya kulalamika: Kwa nini njia za waovu hufanikiwa? Watu wote wasiokuwa na imani wanafanikiwa. \v 2 Wewe uliwapanda nao wakawa na mizizi. Wanaendelea kuzaa matunda. Wewe upo karibu nao katika vinywa vyao, lakini mbali na mioyo yao.

1
12/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 12

View File

@ -166,6 +166,8 @@
"11-14",
"11-17",
"11-18",
"11-21",
"12-title",
"26-title",
"26-01",
"26-04",