Thu Sep 01 2022 15:57:53 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-01 15:57:53 +03:00
parent 5e46d6b49f
commit 3c4d1a91bb
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 40 \v 1 neno lilimjia Yeremia toka kwa Yahwe baada ya Nebuzaradani, kamanda wa walinzi wa mfalme, amemtuma mbali kutoka Ramah. Huko ndiko Yeremia alikuwa amechukuliwa, na huko alikuwa amefungwa kwa minyororo. Alikuwa miongoni mwa mateka wote ya Yerusalem na Yuda ambayo walipaswa kuwa matekani Babeli. \v 2 Mlinzi mkuu alimchukua Yeremia na kusema kwake, "Yahwe Mungu wako aliamrisha maafa haya dhidi ya eneo hili.
\c 40 \v 1 neno lilimjia Yeremia toka kwa Yahwe baada ya Nebuzaradani, kamanda wa walinzi wa mfalme, amemtuma mbali kutoka Ramah. Huko ndiko Yeremia alikuwa amechukuliwa, na huko alikuwa amefungwa kwa minyororo. Alikuwa miongoni mwa mateka wote ya Yerusalemu na Yuda ambayo walipaswa kuwa matekani Babeli. \v 2 Mlinzi mkuu alimchukua Yeremia na kusema kwake, "Yahwe Mungu wako aliamrisha maafa haya dhidi ya eneo hili.

View File

@ -201,6 +201,7 @@
"39-11",
"39-15",
"39-17",
"40-title"
"40-title",
"40-01"
]
}