Tue Sep 06 2022 11:26:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 11:26:14 +03:00
parent 973561e5a3
commit 37e03f8373
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Kimbieni mkapite katika mitaa ya Yerusalemu, Tafuteni katika viwanja vyake. Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja anayetenda kwa haki na kufanya kwa uaminifu, basi nitaisamehe Yerusalemu. \v 2 Hata kama wanasema, 'Kama BWANA aishivyo,' wanaapa uongo." \v 3 BWANA, macho yako hayatazami uaminifu? Unawapiga watu, lakini hawasikii maumivu. Umewaangsmiza kabisa, lakini bado wanakataa kuwa waadilifu. Wanafanya nyuso zao kuwa ngumu kama mwamba. kwa kuwa wanakataa kutubu.
\c 5 \v 1 Kimbieni mkapite katika mitaa ya Yerusalemu, Tafuteni katika viwanja vyake. Tazama na ufikiri kuhusu hili: Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja anayetenda kwa haki na kufanya kwa uaminifu, basi nitaisamehe Yerusalemu. \v 2 Hata kama wanasema, 'Kama BWANA aishivyo,' wanaapa uongo." \v 3 BWANA, macho yako hayatazami uaminifu? Unawapiga watu, lakini hawasikii maumivu. Umewaangsmiza kabisa, lakini bado wanakataa kuwa waadilifu. Wanafanya nyuso zao kuwa ngumu kama mwamba. kwa kuwa wanakataa kutubu.