Wed Oct 12 2022 12:17:52 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-12 12:17:53 +03:00
parent bb74631d3a
commit 337a2c0162
4 changed files with 6 additions and 4 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Kisha Yeremia alisema kwa watu wote - kwa wanaume na wanawake, na watu wote waliomjibu yeye - alihubiri na kusema, \v 21 "Je Yahwe hakukumbuka ubani ambao mliuchoma kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalem - wewe na mababu zenu, wafalme wenu na viongozi, na watu wa nchi? Kwa kuwa Yahwe anakumbuka hili kwenye akili; inakuja kwenye mawazo yake.
\v 20 Kisha Yeremia alisema kwa watu wote - kwa wanaume na wanawake, na watu wote waliomjibu yeye - alihubiri na kusema, \v 21 "Je Yahwe hakukumbuka ubani ambao mliuchoma kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu - wewe na mababu zenu, wafalme wenu na viongozi, na watu wa nchi? Kwa kuwa Yahwe anakumbuka hili kwenye akili; inakuja kwenye mawazo yake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Basi hawakuweza tena kuvumilia kwa sababu ya matendo yenu maovu, kwa sababu machukizo ambayo mlifanya. Basi nchi yenu imekuwa ukiwa, kutisha, na laana basi hapakuwa na mkazi tena kwa siku hii. \v 23 Kwa sababu mlichoma ubani na kufanya dhambi dhidi ya Yahwe, na kwa sababu msingesikiliza sauti yake, sheria yake, amri zake, au maagizo ya agano lake, maafa haya dhidi yenu yemetokea kama kwa siku hii. "
\v 22 Basi hawakuweza tena kuvumilia kwa sababu ya matendo yenu maovu, kwa sababu ya machukizo ambayo mlifanya. Basi nchi yenu imekuwa ukiwa, kutisha, na laana basi hapakuwa na mkazi tena kwa siku hii. \v 23 Kwa sababu mlichoma ubani na kufanya dhambi dhidi ya Yahwe, na kwa sababu msingesikiliza sauti yake, sheria yake, amri zake, au maagizo ya agano lake, maafa haya dhidi yenu yemetokea kama kwa siku hii. "

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Kisha Yeremia alisema kwa watu wote na wanawake wote, " Sikia neno la Yahwe, Yuda yote ambao wamo katika nchi ya Misri. \v 25 Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, Wewe na wake zako wote mmesema kwa vinywa vyenu na kubeba kwa mikono yenu kile mlichosema, " Hakika tutabeba viapo ambavyo tulifanya kumwabudu Malkia wa Mbinguni, kwanga kinywaji cha sadaka kwake." Sasa timiza viapo vyenu, vibebe."
\v 24 Kisha Yeremia alisema kwa watu wote na wanawake wote, " Sikia neno la Yahwe, Yuda yote ambao wamo katika nchi ya Misri. \v 25 Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Wewe na wake zako wote mmesema kwa vinywa vyenu na kubeba kwa mikono yenu kile mlichosema, " Hakika tutabeba viapo ambavyo tulifanya kumwabudu Malkia wa Mbinguni, kwanga kinywaji cha sadaka kwake." Sasa timiza viapo vyenu, vibebe."

View File

@ -519,6 +519,8 @@
"44-11",
"44-13",
"44-15",
"44-18"
"44-18",
"44-20",
"44-22"
]
}