Mon Nov 07 2022 19:51:27 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 19:51:29 +03:00
parent 44ececb330
commit 33197f1411
5 changed files with 8 additions and 20 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 10 Siku hiyo itakuwa siku ya kisasi kwa Bwana Yahwe wa majeshi, naye atajilipizia kisasa juu ya adui zake. Upanga utararua na kujiridhisha. Utakula na kujishibisha kwa damu yao. Kwa maana kutakuwa na sadaka ya kafara kwa Bwana Yahwe wa majeshi katika nchi ya kaskazini kando ya mto Frati.
=======
\v 10 Siku hiyo itakuwa siku ya kisasi kwa Bwana Yahwe Mungu wa majeshi, naye atajilipizia kisasi juu ya adui zake. Upanga utararua na kujirishisha. Utakula na kujishibisha kwa damu yao. Kwa maana kutakuwa na sadaka kwa Bwana Yahwe Mungu wa majeshi katika nchi ya kaskazini kando ya mto Frati.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 10 Siku hiyo itakuwa siku ya kisasi kwa Bwana Yahwe wa majeshi, naye atajilipizia kisasa juu ya adui zake. Upanga utararua na kujiridhisha. Utakula na kujishibisha kwa damu yao. Kwa maana kutakuwa na sadaka ya kafara kwa Bwana Yahwe wa majeshi katika nchi ya kaskazini kando ya mto Frati.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 11 Panda Gileadi ujipatie dawa, binti wa Misri uliyebikra. Haifai kwamba unaweka dawa nyingi juu yako. Hakuna uponyaji kwako. \v 12 Mataifa wamesikia kuaibika kwako. Nchi imejawa na fedheha yako, maana askari hujikwaa juu ya askari; na wote wawili uanguka pamoja."
=======
\v 11 Panda Gileadi ujipatie dawa, binti wa Misri uliye bikra. Haifai kwamba unaweka dawa nyingi juu yako. Hakuna uponyaji kwako. \v 12 Mataifa wamesikia kuaibika kwako. Nchi imejawa na maombolezo yako, maana askari anajikwaa juu ya askari; na wote wawili huanguka pamoja."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 11 Panda Gileadi ujipatie dawa, binti wa Misri uliyebikra. Haifai kwamba unaweka dawa nyingi juu yako. Hakuna uponyaji kwako. \v 12 Mataifa wamesikia kuaibika kwako. Nchi imejawa na fedheha yako, maana askari hujikwaa juu ya askari; na wote wawili uanguka pamoja."

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 13 Hili ndilo neno Yahwe alilomwambia nabii Yeremia wakati Nebukadneza mfalme wa Babeli alipokuja na kushambulia nchi ya Misri: \v 14 Toa taarifa kwa Misri na isikike katika Migdoli na Memfisi. Wamesema katika Tapenesi. Chukua kituo chako na jiweke imara, kwa maana upanga utakula wote kati yenu.
=======
\v 13 Hili ndilo neno Yahwe alilomwambia nabii Yeremia wakati Nebukadneza mfalme wa Babeli alipokuja na kushambulia nchi ya Misri: \v 14 Toa taarifa kwa Misri na isikiwe katika Migdoli na Memfisi. Wamesema katika Tapenesi, wekeni kituo na muwe imara, kwa maana upanga unakula wote kati yenu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 13 Hili ndilo neno Yahwe alilomwambia nabii Yeremia wakati Nebukadneza mfalme wa Babeli alipokuja na kushambulia nchi ya Misri: \v 14 Toa taarifa kwa Misri na isikike katika Migdoli na Memfisi. Wamesema katika Tapenesi. Chukua kituo chako na jiweke imara, kwa maana upanga utakula wote kati yenu.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 15 Kwa nini Apis mungu wenu amekimbia? Kwa nini ng'ombe dume mungu wenu hakuweza kusimama? Yahwe amemwangusha chini. \v 16 Ameongeza idadi ya waliojikwaa. Kila askari anamwangukia yule anayefuata nyuma yake. Wanasema, "Inuka. Haya twende nyumbani. Haya na turudi kwa watu wetu, katika nchi yetu ya asili. Na tuwe mbali na upanga wa mwangamizi." \v 17 Walitangaza pale, "Farao mfalme wa Misri ni kelele tu, aliyeiacha fursa yake ipotelee mbali."
=======
\v 15 Kwa nini Apisi mungu wenu amekimbia? Kwa nini ng'ombe dume mungu wenu hakuweza kusimama? Yahwe amemwangusha chini. \v 16 Ameongeza idadi ya waliojikwaa. Kila askari anaanguka kinyume cha anayefuata. Wanasema, "Inuka. Haya twende nyumbani. Haya na turudi kwa watu wetu, katika nchi yetu ya asili. Na tuuache upanga huu unaotuuwa." \v 17 Walitangaza pale, "Farao mfalme wa Misri ni kelele tu, ameuacha wasaa wake mbali."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 15 Kwa nini Apis mungu wenu amekimbia? Kwa nini ng'ombe dume mungu wenu hakuweza kusimama? Yahwe amemwangusha chini. \v 16 Ameongeza idadi ya waliojikwaa. Kila askari anamwangukia yule anayefuata nyuma yake. Wanasema, "Inuka. Haya twende nyumbani. Haya na turudi kwa watu wetu, katika nchi yetu ya asili. Na tuwe mbali na upanga wa mwangamizi." \v 17 Walitangaza pale, "Farao mfalme wa Misri ni kelele tu, aliyeiacha fursa yake ipotelee mbali."

View File

@ -287,6 +287,10 @@
"46-01",
"46-05",
"46-07",
"46-10",
"46-11",
"46-13",
"46-15",
"47-title",
"48-title",
"48-13",