Tue Aug 30 2022 13:50:38 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-30 13:50:39 +03:00
parent a407539f16
commit 3261fd45d1
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 38 "Angalia, siku zinakuja—hili ni tanagazo la Yahwe—ambapo mji utajengwa tena kwa ajili yangu, kutoka Mnara wa Hananeli hadi kwenye Lango la Pembeni. \v 39 Kisha mistari ya kupimia itaenda nje hadi mbali, hadi kwenye kilima cha Garebu na kuzunguka Goa. \v 40 Bonde lote la miili iliyokufa na majivu, na shamaba lenye matuta linalofika hadi Bonde la Kidroni mbali hadi kwenye kona ya Lango la Farasi upande wa mashariki, litateuliwa kwa ajili ya Yahwe. Mji hautang'olewa wala kupinduliwa tena, milele."
\v 38 "Angalia, siku zinakuja—hili ni tanagazo la Yahwe—ambapo mji utajengwa tena kwa ajili yangu, kutoka Mnara wa Hananeli hadi kwenye Lango la Pembeni. \v 39 Kisha mistari ya kupimia itaenda nje hadi mbali, hadi kwenye kilima cha Garebu na kuzunguka Goa. \v 40 Bonde lote la miili iliyokufa na majivu, na shamba lenye matuta linalofika hadi Bonde la Kidroni mbali hadi kwenye kona ya Lango la Farasi upande wa mashariki, litateuliwa kwa ajili ya Yahwe. Mji hautang'olewa wala kupinduliwa tena, milele."