Fri Sep 16 2022 12:36:57 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 12:36:59 +03:00
parent c7865001ea
commit 2f047263f0
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 41 \v 1 Lakini ilitokea kwamba katika mwezi wa saba Ishmaeli mwana wa Nethania mwana wa Elishama, toka familia ya kifalme, na maafisa baadhi wa mfalme, walikuja --wanaume kumi walikuwa pamoja naye - kwa Gedalia mwana wa Ahikam, huko Mizpa. Walikula chakula pamoja huko Mizpa. \v 2 Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania, na wanaume kumi ambao walikuwa pamoja naye waliinuka na kumvamia Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani, kwa upanga. Ishmaeli alimuua Gedalia, ambaye mfalme wa Babeli alimweka kuwa msimamizi wa nchi. \v 3 Kisha Ishmaeli aliwauwa Wayahudi wote ambao walikuwa pamoja na Gedalia huko Mizpa na Wakaldayo wanaume wa kupigana kukutwa huko.
\c 41 \v 1 Lakini ilitokea kwamba katika mwezi wa saba Ishmaeli mwana wa Nethania mwana wa Elishama, toka familia ya kifalme, na maafisa baadhi wa mfalme, walikuja --wanaume kumi walikuwa pamoja naye -- kwa Gedalia mwana wa Ahikam, huko Mizpa. Walikula chakula pamoja huko Mizpa. \v 2 Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania, na wanaume kumi ambao walikuwa pamoja naye waliinuka na kumvamia Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani, kwa upanga. Ishmaeli alimuua Gedalia, ambaye mfalme wa Babeli alimweka kuwa msimamizi wa nchi. \v 3 Kisha Ishmaeli akawauwa Wayahudi wote ambao walikuwa pamoja na Gedalia huko Mizpa na Wakaldayo wanaume wa kupigana kukutwa huko.