Fri Oct 28 2022 15:19:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-28 15:19:48 +03:00
parent e0017bd4f2
commit 2cb7868213
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Upaa utakuja juu ya Gaza. Hata kwa Ashikeloni amenyamazishwa. watu waliosalia bondeni watakuwa kimya. Ni kwa muda gani mtajiondoa katika maombolezo? \v 6 Ole, upanga wa Yahwe! itachukua muda gani hata unyamaze? Rudini alani mwenu! Acha na unyamaze. \v 7 Wawezaje kuwa kimya, maana Yahwe amekuagiza. Amekuamuru kumpiga Ashikeloni na dhidi ya nchi ya pwani ya bahari.
\v 5 Upaa utakuja juu ya Gaza. Hata kwa Ashikeloni amenyamazishwa. Nyie mliosalia bondeni hata lini mtaendelea kujikatakata?watakuwa kimya. Ni kwa muda gani mtajiondoa katika maombolezo? \v 6 Ole, upanga wa Yahwe! itachukua muda gani hata unyamaze? Rudini alani mwenu! Acha na unyamaze. \v 7 Wawezaje kuwa kimya, maana Yahwe amekuagiza. Amekuamuru kumpiga Ashikeloni na dhidi ya nchi ya pwani ya bahari.