Tue Aug 30 2022 10:37:01 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-30 10:37:02 +03:00
parent f12dd4a674
commit 2951ece948
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Kwa hakika nimemsikia Efraimu akilia, 'Uliniadhibu, nami nimeadhibika kama ndama asiye na mafunzo. Nirudishe na nitarudishwa, kwa maana wewe ni Yahwe Mungu wangu. \v 19 Kwa maana baada ya kurudi kwako, nilikuwa na huzuni; baada ya kufundishwa, nilijipiga kofi shavu langu. Niliaibika ana dharirika, kwa maana nilizaliwa na hataia ya ujana wangu.' \v 20 Efraimu siyo mtoto wangu wa thamani? Yeye si mpendwa wangu, mwanangu anipendezaye? Kwa maana kila ninaponena juu yake, bado nina mwita kipenzi cha akili yangu. Kwa namna hii moyo wangu unamtamani. Kwa hakika nitaakuwa na huruma ajuu yake—hili ni tangazo la Yahwe."
\v 18 Kwa hakika nimemsikia Efraimu akilia, 'Uliniadhibu, nami nimeadhibika kama ndama asiye na mafunzo. Nirudishe na nitarudishwa, kwa maana wewe ni Yahwe Mungu wangu. \v 19 Kwa maana baada ya kurudi kwako, nilikuwa na huzuni; baada ya kufundishwa, nilijipiga kofi shavu langu. Niliaibika na kudharirika, kwa maana nilizaliwa na hataia ya ujana wangu.' \v 20 Efraimu siyo mtoto wangu wa thamani? Yeye si mpendwa wangu, mwanangu anipendezaye? Kwa maana kila ninaponena juu yake, bado nina mwita kipenzi cha akili yangu. Kwa namna hii moyo wangu unamtamani. Kwa hakika nitaakuwa na huruma ajuu yake—hili ni tangazo la Yahwe."