diff --git a/50/41.txt b/50/41.txt index d06f739..b114375 100644 --- a/50/41.txt +++ b/50/41.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 41 "Tazama, watu wanakuja kutoka kaskazini, maana taifa kubwa na wafalme wengi wamemtikisa kutokea mbali. \v 42 Watachukua pinde na mishale. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama mngurumo wa bahari, na wamepanda farasi katika mpangilio kama watu wapiganao, dhidi yako, binti Babeli. Mfalme wa Babeli amesikia habari yao na mikono yake imelegea kwa huzuni. Mashaka yamemshika kama mwanamke katika utungu. -======= -\v 41 "Tazama, watu wanakuja kutoka kaskazini, maana taifa kubwa na wafalme wengi wamemtikisa kutokea mbali. \v 42 Watachukua pinde na mishale. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama mngurumo wa bahari, na wamepanda farasi katika mpangilio kama watu wapiganao, dhidi yako, bindi Babeli. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 41 "Tazama, watu wanakuja kutoka kaskazini, maana taifa kubwa na wafalme wengi wamemtikisa kutokea mbali. \v 42 Watachukua pinde na mishale. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama mngurumo wa bahari, na wamepanda farasi katika mpangilio kama watu wapiganao, dhidi yako, binti Babeli. Mfalme wa Babeli amesikia habari yao na mikono yake imelegea kwa huzuni. Mashaka yamemshika kama mwanamke katika utungu. \ No newline at end of file diff --git a/50/45.txt b/50/45.txt index 112b5de..9dec7a9 100644 --- a/50/45.txt +++ b/50/45.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 45 Sikilizeni mipango ambayo Yahwe ameamua juu ya Babeli, mipango aliyonayo dhidi ya nchi ya Wakaldayo. Kwa hakika wataondolewa, hata kundi dogo zaidi. Eneo lao la malisho litageuzwa kuwa sehemu zenye magofu. \v 46 Kwa sauti ya kuangushwa kwa Babeli nchi inatikisika, na sauti ya mateso yao inasikiwa kati ya mataifa." -======= -\v 45 Sikilizeni mipango ambayo Yahwe ameamua juu ya Babeli, mipango aliyonayo dhidi ya nchi ya Wakaldayo. Kwa hakika wataondolewa, hata kundi ndogo zaidi. Eneo lao la malisho litageuzwa kuwa sehemu zenye magofu. \v 46 Kwa sauti ya kuangushwa kwa Babeli nchi inatikisika, na sauti ya mateso yao inasikiwa kati ya mataifa." ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 45 Sikilizeni mipango ambayo Yahwe ameamua juu ya Babeli, mipango aliyonayo dhidi ya nchi ya Wakaldayo. Kwa hakika wataondolewa, hata kundi dogo zaidi. Eneo lao la malisho litageuzwa kuwa sehemu zenye magofu. \v 46 Kwa sauti ya kuangushwa kwa Babeli nchi inatikisika, na sauti ya mateso yao inasikiwa kati ya mataifa." \ No newline at end of file diff --git a/51/01.txt b/51/01.txt index 913a719..01850f4 100644 --- a/51/01.txt +++ b/51/01.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\c 51 \v 1 Yahwe asema hivi: Tazama, ninakwenda kuleta upepo wa maangamizi dhidi ya Babeli na dhidi yao waishio ndani ya Leb Kamei. \v 2 Nitatuma wageni Babeli. Watamtawanya na wataifanya ukiwa nchi yake, maana watakuja kinyume chake kutoka pote siku ya madhara. -======= -\c 51 \v 1 Yahwe asema hivi: Tazama, ninakwenda kuleta upepo wa maangamizi dhidi ya Babeli na dhidi yao waishio ndani ya Leb Kamai. \v 2 Nitawatuma Babeli wageni. Watamtawanya na wataifanya ukiwa nchi yake, maana watakuja kinyume chake kutoka pote siku ya madhara. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\c 51 \v 1 Yahwe asema hivi: Tazama, ninakwenda kuleta upepo wa maangamizi dhidi ya Babeli na dhidi yao waishio ndani ya Leb Kamei. \v 2 Nitatuma wageni Babeli. Watamtawanya na wataifanya ukiwa nchi yake, maana watakuja kinyume chake kutoka pote siku ya madhara. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 09c5f69..a275128 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -359,9 +359,12 @@ "50-33", "50-35", "50-38", + "50-41", "50-43", "50-44", + "50-45", "51-title", + "51-01", "51-03", "51-07", "51-09",