Tue Sep 06 2022 11:44:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 11:44:14 +03:00
parent f50a5523f2
commit 240283d499
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 Podo lao ni kaburi wazi. Wote ni wanajeshi. \v 17 Kwa hiyo mavuno yako yataliwa, wana wako na binti zako pia, na chakula chako. Watakula kondoo wako na ng'ombe wako, watakula matunda ya zabibu zako na ya mitiini. Wataiangusha chini miji yenu na boma zake ambazo mnazitumainia.
\v 16 Podo lao ni kaburi wazi. Wote ni wanajeshi. \v 17 Kwa hiyo mavuno yako yataliwa, wana wako na binti zako pia, na chakula chako. Watakula kondoo wako na ng'ombe wako, watakula matunda ya zabibu zako na ya mitini. Wataiangusha chini miji yenu na boma zake ambazo mnazitumainia.

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Lakini hata katika siku hizo - asema BWANA - sikusudii kuwaharibu kabisa. \v 19 Itatokea kwenu, ninyi Yuda na Israeli, mkisema, 'Kwa nini BWANA, Mungu wetu ametufanyia haya yote?' kwamba wewe Yeremia, utawaambia, 'Kama vile mlivyomwacha BWANA na kuabudu miungu mingine katika nchi yenu, vivyo hivyo mtawatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.'
\v 18 Lakini hata katika siku hizo - asema BWANA - Sikusudii kuwaharibu kabisa. \v 19 Itatokea kwenu, ninyi Yuda na Israeli, mkisema, 'Kwa nini Bwana Mungu wetu ametufanyia haya yote?' kwamba wewe Yeremia, utawaambia, 'Kama vile mlivyomwacha BWANA na kuabudu miungu mingine katika nchi yenu, vivyo hivyo mtawatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.'

View File

@ -88,6 +88,7 @@
"05-07",
"05-10",
"05-14",
"05-16",
"26-title",
"26-01",
"26-04",