Mon Sep 05 2022 15:36:41 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-05 15:36:41 +03:00
parent 716e103545
commit 237b89bd97
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Kiri uovu wako, kwa kuwa umefanya dhambi dhidi ya BWANA, Mungu wako; umemshirikisha njia zako mgeni chini ya kila mti wenye majani mabichi! wala hukuisikiliza sauti yangu! - asema BWANA. \v 14 Rudini, enyi watu waasi! - asema BWANA - kwa kuwa mimi nimekuoa wewe! Nitakurudisha wewe mmoja katika mji, wawili katika ukoo mmoja, na nitawarudisha Sayuni! \v 15 Nitawapa wachungaji niwapendao, na watawachunga kwa maarifa na ufahamu.
\v 13 Kiri uovu wako, kwa kuwa umefanya dhambi dhidi ya BWANA, Mungu wako; umemshirikisha njia zako mgeni chini ya kila mti wenye majani mabichi! wala hukuisikiliza sauti yangu! - asema BWANA. \v 14 Rudini, enyi watu waasi! - asema BWANA - kwa kuwa mimi nimekuoa wewe! Nitakurudisha wewe, mmoja katika mji, wawili katika ukoo mmoja, na nitawarudisha Sayuni! \v 15 Nitawapa wachungaji niwapendao, na watawachunga kwa maarifa na ufahamu.