Tue Sep 06 2022 11:32:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 11:32:14 +03:00
parent f0c4512c43
commit 226c0e64a3
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Kwa hiyo nilisema, "Hakika hawa ni watu masikini. Ni wapumbavu, kwa kuwa hawazijui njia za BWANA, wala maagizo ya Mungu wao. \v 5 Nitaenda kwa watu wa muhimu na kutangaza ujumbe wa Mungu kwao, kwa kuwa angalau wanazijua njia za BWANA, maagizo ya Mungu wao. Lakini wote wanavunja nira yao pamoja; wote wanaivunja ile minyororo inayowafunga kwa ajili ya Mungu. \v 6 Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawavamia. Mbweha kutoka Arabaha atawaangamiza. Chui ataivunja miji yao. Mtu yeyota anayeenda nje ya mji wake atavunjwavunjwa. Kwa kuwa maovu yao yameongezeka. Matendo yao ya uasi hayana ukomo.
\v 4 Kwa hiyo nilisema, "Hakika hawa ni watu masikini. Ni wapumbavu, kwa kuwa hawazijui njia za BWANA, wala maagizo ya Mungu wao. \v 5 Nitaenda kwa watu wa muhimu na kutangaza ujumbe wa Mungu kwao, kwa kuwa angalau wanazijua njia za BWANA, maagizo ya Mungu wao. Lakini wote wanavunja nira yao pamoja; wote wanaivunja ile minyororo inayowafunga kwa ajili ya Mungu. \v 6 Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawavamia. Mbweha kutoka Arabaha atawaangamiza. Chui ataivunja miji yao. Mtu yeyota anayeenda nje ya mji wake atavunjwavunjwa. Kwa kuwa maovu yao yameongezeka. Matendo yao ya uasi hayana kikomo.

View File

@ -84,6 +84,7 @@
"04-30",
"05-title",
"05-01",
"05-04",
"26-title",
"26-01",
"26-04",