Tue Aug 09 2022 20:39:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-09 20:39:51 +03:00
parent 7ef2dcb51d
commit 219843ca35
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Wakasema, "Mikaya Mmorashi alikuwa akitabiri katika siku za Hezekia mfalme wa Yuda. Alinena kwa watu wote wa Yuda na kusema, 'Yahwe wa majeshi anasema hivi: Sayuni utalimwa kama shamba, Yerusalemu utakuwa lundo la magofu, na mlima wa hekalu utakuwa kilima kilicho ota vichaka.' Hezekia mfalme wa Yuda na Yunda wote walimuua? \v 19 Hakumwogopa Yahwe na kuutaka radhi uso wa Yahwe ili kwamba Yahwe angeghairi kuhusu janga ambalo alilitangaza kwao? Kwa hiyo tutafanya maovu makubwa zaidi juu ya maisha yetu sisi wenyewe?"
\v 18 Wakasema, "Mikaya Mmorashi alikuwa akitabiri katika siku za Hezekia mfalme wa Yuda. Alinena kwa watu wote wa Yuda na kusema, 'Yahwe wa majeshi anasema hivi: Sayuni utalimwa kama shamba, Yerusalemu utakuwa lundo la magofu, na mlima wa hekalu utakuwa kilima kilicho cha kichaka.' Hezekia mfalme wa Yuda na Yuda wote walimuua? \v 19 Hakumwogopa Yahwe na kuutaka radhi uso wa Yahwe ili kwamba Yahwe angeghairi kuhusu janga ambalo alilitangaza kwao? Kwa hiyo tutafanya maovu makubwa zaidi juu ya maisha yetu sisi wenyewe?"