Fri Sep 02 2022 15:25:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-02 15:25:20 +03:00
parent 8d4990b8ab
commit 200ed146e5
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Jiandae! Simama ukawaambie kila kitu ninachokuamuru. Usifdhaike mbele zao nisije nikakufadhaisha wewe mbele zao! \v 18 Tazama! Leo nimekufanya kuwa mji ulio na ngome, kuwa ngome ya chuma, na ukata wa shaba dhidi ya nchi yote - dhidi ya wafalme wa Yuda, na juu ya wakuu wake, na juu ya makuhani wake, na juu ya watu wote wa nchi. \v 19 Watapigana na wewe, lakinai hawatakushinda, kwa kuwa nitakuwa pamoja na wewe ili kukuokoa- asema BWANA."
\v 17 Jiandae! Simama ukawaambie kila kitu ninachokuamuru. Usifdhaike mbele zao nisije nikakufadhaisha wewe mbele zao! \v 18 Tazama! Leo nimekufanya kuwa mji ulio na ngome, kuwa ngome ya chuma, na ukuta wa shaba dhidi ya nchi yote - dhidi ya wafalme wa Yuda, na juu ya wakuu wake, na juu ya makuhani wake, na juu ya watu wote wa nchi. \v 19 Watapigana na wewe, lakini hawatakushinda, kwa kuwa nitakuwa pamoja na wewe ili kukuokoa- asema BWANA."