Mon Nov 07 2022 19:31:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 19:31:27 +03:00
parent a31ff468eb
commit 1e0dff2d43
2 changed files with 2 additions and 5 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 4 Basi nimerudia kila mara kuwatuma wote watumishi wangu manabii kwao. Niliwatuma wao kusema, 'Acha kufanya hivi vitu machukizo ambayo nachukia. \v 5 Lakini walikataa kuwa makini au kugeuka kwa kuacha maovu ya kuchoma ubani kwa miungu mingine. \v 6 Basi hasira yangu na gadhabu yangu zilimwangwa na kuwasha moto kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Basi waliharibiwa na kuteketezwa, kama ilivyo katika siku ya leo."
=======
\v 4 Basi nirudie kuwatuma watumwa wangu wote manabii kwao. Niliwatuma wao kusema, 'Acha kufanya vitu hivi machukizo ambayo nachukia. \v 5 Lakini hawakunisikiliza. Walikataa kuwa makini au kuyaacha maovu kwa kuchoma ubani kwa miungu mingine. \v 6 Basi hasira yangu na gadhabu yangu zilimwagwa na kuwasha moto kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Basi waliharibiwa na kuteketezwa, kama katika siku ya leo."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 4 Basi nirudie kuwatuma watumwa wangu wote manabii kwao. Niliwatuma wao kusema, 'Acha kufanya vitu hivi machukizo ambayo nachukia. \v 5 Lakini hawakunisikiliza. Walikataa kuwa makini au kuyaacha maovu kwa kuchoma ubani kwa miungu mingine. \v 6 Basi hasira yangu na gadhabu yangu zilimwagwa na kuwasha moto kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Basi waliharibiwa na kuteketezwa, kama katika siku ya leo."

View File

@ -268,6 +268,7 @@
"43-11",
"44-title",
"44-01",
"44-04",
"45-title",
"46-title",
"47-title",