Tue Aug 16 2022 13:03:52 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-16 13:03:53 +03:00
parent 12da15620c
commit 1bd6d8461c
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Kwa hiyo wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope—hili ni tangazo la Yahwe—na usifadhaike, ee Israeli. Maana ona, niko karibu kukuokoa kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya utumwa,. Yakobo atarudi na kuwa katika amani; ataokolewa, na hapatakuwa na hofu zaidi. \v 11 Kwa maana niko pamoja nawe—hili ni tangazo la Yahwe—ili kukuokoa. Kisha nitaleta mwisho kamili kwa mataifa yote ambako nimewatawanya. Bali sitaweka mwisho kwako, ingawa ninakuadhibu kwa haki na kwa hakika sitakuacha bila kukuadhibu.'
\v 10 Kwa hiyo wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope—hili ni tangazo la Yahwe—na usifadhaike, ee Israeli. Maana ona, niko karibu kukuokoa kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya utumwa,. Yakobo atarudi na kuwa katika amani; na usalama, na hapatakuwa na hofu zaidi. \v 11 Kwa maana niko pamoja nawe—hili ni tangazo la Yahwe—ili kukuokoa. Kisha nitaleta mwisho kamili kwa mataifa yote ambako nimewatawanya. Bali sitaweka mwisho kwako, ingawa ninakuadhibu kwa haki na kwa hakika sitakuacha bila kukuadhibu.'