Tue Aug 16 2022 13:15:52 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-16 13:15:53 +03:00
parent 7f8eaeb64c
commit 1bb988e115
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Wapenzi wako wote wamekusahau. Hawatakuangalia, kwa maana nimekujeruhi kwa jeraha la adui na nidhimu ya bwana mkatili kwa sababu ya uovu wako mwingi na dhambi zako zisizohesabika. \v 15 Kwa nini unaita msaada kwa ajili ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. kwa sababu ya uovu wako mwingi, dhambi zako zisizohesabika, nimefanya mambo haya kwako.
\v 14 Wapenzi wako wote wamekusahau. Hawatakutafuta, kwa maana nimekujeruhi kwa jeraha la adui na nidhamu ya bwana mkatili kwa sababu ya uovu wako mwingi na dhambi zako zisizohesabika. \v 15 Kwa nini unaita msaada kwa ajili ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. kwa sababu ya uovu wako mwingi, dhambi zako zisizohesabika, nimefanya mambo haya kwako.