Mon Aug 29 2022 16:28:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-29 16:28:45 +03:00
parent 0d580aa6d9
commit 14208fd8af
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 31 \v 1 "Katika wakati huo—hili ni tangazo la Yahwe—Nitakuwa Mungu wa familia zote za Israel, na watakuwa watu wangu." \v 2 Yahwe anasema hivi, "Watu ambao wamenusurika na upanga wamepata kibali katika nyika; nitatoka nje kuwapa pumziko Israeli." \v 3 Yahwe alinitokea zamani na kusema, "Nimekupenda wewe, Israeli, kwa upendo wa milele. Kwa hiyo nimekuvuta kwangu kwa agano la uaminifu.
\c 31 \v 1 "Katika wakati huo—hili ni tangazo la Yahwe—Nitakuwa Mungu wa koo zote za Israel, na watakuwa watu wangu." \v 2 Yahwe anasema hivi, "Watu ambao wamenusurika na upanga wamepata kibali katika nyika; nitatoka nje kuwapa pumziko Israeli." \v 3 Yahwe alinitokea zamani na kusema, "Nimekupenda wewe, Israeli, kwa upendo wa milele. Kwa hiyo nimekuvuta kwangu kwa agano la uaminifu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa, bikra wa Israeli..... na kwenda nje michezo ya furaha. \v 5 Utapanda mizabibu tena juu ya milima Samaria; wakulima watatapanda na kuweka matunda kwa ajili ya matumizi mazuri. \v 6 Kwa maana siku itakuja wakati walizi watakapotangaza katika milima ya Efraimu, 'Inuka, twndeni juu kwenye mlimaa wa Yahwe Mungu wetu.'
\v 4 Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa, bikra wa Israeli. Utachukua tena vinanda na kwenda nje michezo ya furaha. \v 5 Utapanda mizabibu tena juu ya milima Samaria; wakulima watatapanda na kuweka matunda kwa ajili ya matumizi mazuri. \v 6 Kwa maana siku itakuja wakati walizi watakapotangaza katika milima ya Efraimu, 'Inuka, twndeni juu kwenye mlimaa wa Yahwe Mungu wetu.'