From 0c89aa15aba28bebfaab809a4380cd7d07e2dd4b Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Mon, 7 Nov 2022 19:55:33 +0300 Subject: [PATCH] Mon Nov 07 2022 19:55:32 GMT+0300 (East Africa Time) --- 46/27.txt | 6 +----- 47/01.txt | 6 +----- 47/03.txt | 6 +----- 47/05.txt | 6 +----- manifest.json | 4 ++++ 5 files changed, 8 insertions(+), 20 deletions(-) diff --git a/46/27.txt b/46/27.txt index 6c36003..d68f1cb 100644 --- a/46/27.txt +++ b/46/27.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 27 Lakini wewe, Yakobo mtumishi wangu, usihofu. Usifadhaike, Israeli, maana tazama, nitayari kukurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya mateka. Kisha Yakobo atarudi, nakuwa katika amani; na kuhifadhiwa salama, na hapatakuwa na wa kumwogofya. \v 28 Wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope--asema Yahwe--kwa maana nipo nawe, hivyo nitaleta maangamizi makamilifu dhidi ya mataifa yote nilikokupeleka. Lakini sitakuharibu kabisa. Hata hivyo nitakuadhibu kwa haki na hakika sitakuacha bila adhabu." -======= -\v 27 Lakini, wewe Yakobo mtumishi wangu, usihofu. Usifadhaike, Israeli, maana tazama, nitakurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya mateka. Kisha Yakobo atarudi, tafuta amani, na kuwa salama, na hapatakuwa na wa kumwogofya. \v 28 Wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope - asema Yahwe - kwa maana nipo nawe, hivyo nitaleta maangamizi makamilifu dhidi ya mataifa yote nilikokupeleka. Lakini sitakuharibu kabisa. Hata hivyo nitakuadhibu kwa haki na hakika sitakuacha bila adhabu." ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 27 Lakini wewe, Yakobo mtumishi wangu, usihofu. Usifadhaike, Israeli, maana tazama, nitayari kukurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya mateka. Kisha Yakobo atarudi, nakuwa katika amani; na kuhifadhiwa salama, na hapatakuwa na wa kumwogofya. \v 28 Wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope--asema Yahwe--kwa maana nipo nawe, hivyo nitaleta maangamizi makamilifu dhidi ya mataifa yote nilikokupeleka. Lakini sitakuharibu kabisa. Hata hivyo nitakuadhibu kwa haki na hakika sitakuacha bila adhabu." \ No newline at end of file diff --git a/47/01.txt b/47/01.txt index 2aa4b21..2e1ef61 100644 --- a/47/01.txt +++ b/47/01.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\c 47 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililokuja kwa Yeremia nabii juu ya Wafilisiti. Neno hili lilimjia kabla Farao hajaishambulia Gaza. \v 2 "Yahwe asema hivi: Tazama, mafuriko ya maji yanainuka huko kaskazini. Yatakuwa kama mto uliofurika! Kisha yataigharikisha nchi na kila kitu ndani yake, miji yake na watu wakaao ndani yake! Kila mmoja atapiga kelele ya kuomba msaada, na wakaaji wote wa nchi wataomboleza. -======= -\c 47 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililokuja kwa Yeremia nabii juu ya Wafilisiti. Neno hili lilimjia kabla Farao hajaishambulia Gaza. \v 2 "Yahwe asema hivi: Tazama, mafuriko ya maji yanainuka huko kaskazini. Yatakuwa kama mto uliofurika! Kisha yataigharikisha nchi na kila kitu ndani yake, miji yake na watu wakaao ndani yake! Kila mtu atapiga kelele ya kuomba msaada, na wakaaji wote wa nchi wataomboleza. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\c 47 \v 1 Hili ni neno la Yahwe lililokuja kwa Yeremia nabii juu ya Wafilisiti. Neno hili lilimjia kabla Farao hajaishambulia Gaza. \v 2 "Yahwe asema hivi: Tazama, mafuriko ya maji yanainuka huko kaskazini. Yatakuwa kama mto uliofurika! Kisha yataigharikisha nchi na kila kitu ndani yake, miji yake na watu wakaao ndani yake! Kila mmoja atapiga kelele ya kuomba msaada, na wakaaji wote wa nchi wataomboleza. \ No newline at end of file diff --git a/47/03.txt b/47/03.txt index 5d58d8a..eb4012d 100644 --- a/47/03.txt +++ b/47/03.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 3 Kwa sauti ya vishindo vya kwato za farasi wao wenye nguvu, kwa ngurumo za magari yao ya kivita na kelele za magurudumu yake, wababa hawatawasaidia watoto wao kwa sababu ya udhaifu wa mikono yao. \v 4 Kwa maana siku inakuja itakayowaacha ukiwa Wafilisiti wote, kumwondoa kila mtu aliyesalia huko Tire na Sidoni anayetaka kuwasaidia. Kwa maana Yahwe anawaangamiza Wafilisiti, hao waliosalia katika kisiwa cha Kaftori. -======= -\v 3 Kwa sauti ya kukanyaga kwa kwato za farasi wao wenye nguvu, kwa mungurumo wa vibandawazi vyao na kelele za magurudumu yao, wazazi hawatawasaidia watoto wao kwa sababu ya udhaifu wao. \v 4 Kwa maana siku inakuja itakayowaacha ukiwa Wafilisiti wote, kumwondoa kila mtu aliyesalia anayetaka kuwasaidia. Kwa maana Yahwe anawaangamiza Wafilisiti, waliosalia katika kisiwa cha Kaftori. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 3 Kwa sauti ya vishindo vya kwato za farasi wao wenye nguvu, kwa ngurumo za magari yao ya kivita na kelele za magurudumu yake, wababa hawatawasaidia watoto wao kwa sababu ya udhaifu wa mikono yao. \v 4 Kwa maana siku inakuja itakayowaacha ukiwa Wafilisiti wote, kumwondoa kila mtu aliyesalia huko Tire na Sidoni anayetaka kuwasaidia. Kwa maana Yahwe anawaangamiza Wafilisiti, hao waliosalia katika kisiwa cha Kaftori. \ No newline at end of file diff --git a/47/05.txt b/47/05.txt index c798aea..542f543 100644 --- a/47/05.txt +++ b/47/05.txt @@ -1,5 +1 @@ -<<<<<<< HEAD -\v 5 Upaa utakuja juu ya Gaza. Hata kwa Ashikeloni amenyamazishwa. Nyie mliosalia bondeni hata lini mtaendelea kuomboleza kwa kujikatakata? \v 6 Ole, upanga wa Yahwe! itachukua muda gani hata unyamaze? Rudini alani mwenu! Acha na unyamaze. \v 7 Itawezaje kutulia wakati Yahwe ameiamuru, na ameiaagiza kumpiga Ashikeloni na mwambao wa pwani ya bahari? -======= -\v 5 Maombolezo yatakuja juu ya Gaza. Hata kwa Ashikeloni, watu waliosalia bondeni watakuwa kimya. Ni kwa muda gani mtajiondoa katika maombolezo? \v 6 Ole, upanga wa Yahwe! itachukua muda gani hata unyamaze? Rudini alani mwenu! Acha na unyamaze. \v 7 Wawezaje kuwa kimya, maana Yahwe amekuagiza. Amekuamuru kumpiga Ashikeloni na dhidi ya nchi ya pwani ya bahari. ->>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113 +\v 5 Upaa utakuja juu ya Gaza. Hata kwa Ashikeloni amenyamazishwa. Nyie mliosalia bondeni hata lini mtaendelea kuomboleza kwa kujikatakata? \v 6 Ole, upanga wa Yahwe! itachukua muda gani hata unyamaze? Rudini alani mwenu! Acha na unyamaze. \v 7 Itawezaje kutulia wakati Yahwe ameiamuru, na ameiaagiza kumpiga Ashikeloni na mwambao wa pwani ya bahari? \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 69e5076..bb6ac5d 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -294,7 +294,11 @@ "46-18", "46-20", "46-23", + "46-25", + "46-27", "47-title", + "47-01", + "47-03", "48-title", "48-13", "49-title",