Mon Nov 07 2022 19:53:27 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 19:53:29 +03:00
parent 33197f1411
commit 065482d2e3
5 changed files with 7 additions and 20 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 18 Kama niishivyo--hili ni tamko la mfalme, ajulikanaye kwa Jina la Yahwe wa majeshi--kuna mtu atakuja aliye kama Mlima Tabori na Mlima Karmeli kando ya bahari. \v 19 Wekeni masanduku yenu kuyachukua uhamishoni, binti mwishio Misri. Kwani Memfisi itakuwa, magofu. itakuwa ukiwa kwa moto, na hakuna atakayeishi huko.
=======
\v 18 Kama niishivyo - hili ni tamko la mfalme - Yahwe Mungu wa majeshi kwa jina, kuna mtu atakuja aliye kama Mlima Tabori na Mlima Karmeli kando ya bahari. \v 19 Wekeni masanduku yenu kuyachukua uhamishoni, binti muishio Misri. Kwani Memfisi haitafaa, magofu. Hakuna atakayeishi huko.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 18 Kama niishivyo--hili ni tamko la mfalme, ajulikanaye kwa Jina la Yahwe wa majeshi--kuna mtu atakuja aliye kama Mlima Tabori na Mlima Karmeli kando ya bahari. \v 19 Wekeni masanduku yenu kuyachukua uhamishoni, binti mwishio Misri. Kwani Memfisi itakuwa, magofu. itakuwa ukiwa kwa moto, na hakuna atakayeishi huko.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 20 Misri ni mtamba mzuri sana, lakini mdudu aumaye anakuja kutoka kaskazini. Anakuja. \v 21 Askari wake wakukodiwa ni kama dume la ng'ombe lililonona kati yake, lakini wao pia watageuka na kukimbia. Hawatasimama pamoja, kwani siku yao ya madhara inakuja kunyume chao, wakati wa kuadhibiwa kwao. \v 22 Misri anatoa sauti kama ya nyoka na kuondoka kwa kutambaa, maana adui yake anakuja kinyume chake. Wanamkabili kama mkata miti aliye na shoka.
=======
\v 20 Misri ni mtamba mzuri sana, lakini mdudu aumaye anakuja kutoka kaskazini. Anakuja. \v 21 Askari wake wakukodiwa ni kama dume la ng'ombe lililonona kati yake. lakini wao pia watageuka na kukimbia. Hawatasimama pamoja, kwani siku yao ya madhara inakuja kunyume chao, wakati wa kuadhibiwa kwao. \v 22 Misri anatoa sauti kama ya nyoka na kuondoka kwa kutambaa, maana adui yake anajiandaa kinyume chake. Wanamkabili kama mkata miti aliye na shoka.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 20 Misri ni mtamba mzuri sana, lakini mdudu aumaye anakuja kutoka kaskazini. Anakuja. \v 21 Askari wake wakukodiwa ni kama dume la ng'ombe lililonona kati yake, lakini wao pia watageuka na kukimbia. Hawatasimama pamoja, kwani siku yao ya madhara inakuja kunyume chao, wakati wa kuadhibiwa kwao. \v 22 Misri anatoa sauti kama ya nyoka na kuondoka kwa kutambaa, maana adui yake anakuja kinyume chake. Wanamkabili kama mkata miti aliye na shoka.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 23 Wataangusha misitu--japokuwa ni mingi sana--hili ni tamko la Yahwe. Kwa maana adui watakuwa wengi kuliko nzige, wasioweza kuhesabika. \v 24 Binti wa Misri ataaibishwa. Atawekwa mkononi mwa watu kutoka kaskazini."
=======
\v 23 Wataangusha misitu - japokuwa ni mingi sana - hili ni tamko la Yahwe. Kwa maana adui watakuwa wengi kuliko nzige, wasiohesabika. \v 24 Binti Misri ataaibishwa. Atawekwa mkononi mwa watu kutoka kaskazini."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 23 Wataangusha misitu--japokuwa ni mingi sana--hili ni tamko la Yahwe. Kwa maana adui watakuwa wengi kuliko nzige, wasioweza kuhesabika. \v 24 Binti wa Misri ataaibishwa. Atawekwa mkononi mwa watu kutoka kaskazini."

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 25 Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema, "Tazama, niko karibu kumwadhibu Amoni wa Thebesi, Farao, Misri na miungu yake, Mafarao wafalme wake, na wote wanaomtumaini. \v 26 Ninawaweka katika mkono wake atafutaye maisha yao, na katika mkono wa Nebukadneza mfalme wa Babeli na watumishi wake. Kisha baada ya haya Misri itakaliwa kama mwanzo - asema Yahwe."
=======
\v 25 Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema, "Tazama, niko karibu kumwadhibu Amoni wa Thebesi, Farao, Misri na miungu yake, Farao mfalme wake, na wote wanaomtumaini. \v 26 Nitawaweka katika mkono wa wanaoyaona maisha yao, na katika mkono wa Nebukadneza mfalme wa Babeli na watumishi wake. Kisha baada ya haya Misri itakaliwa kama mwanzo - asema Yahwe."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 25 Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema, "Tazama, niko karibu kumwadhibu Amoni wa Thebesi, Farao, Misri na miungu yake, Mafarao wafalme wake, na wote wanaomtumaini. \v 26 Ninawaweka katika mkono wake atafutaye maisha yao, na katika mkono wa Nebukadneza mfalme wa Babeli na watumishi wake. Kisha baada ya haya Misri itakaliwa kama mwanzo-- asema Yahwe."

View File

@ -291,6 +291,9 @@
"46-11",
"46-13",
"46-15",
"46-18",
"46-20",
"46-23",
"47-title",
"48-title",
"48-13",