Fri Sep 16 2022 15:44:36 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 15:44:37 +03:00
parent 4b1a309014
commit 0101923d40
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Kwa kuwa atakuja na kuvamia nchi ya Misri. Yeyote aliyeandikiwa kufa atakufa. Yeyote aliyeandikiwa mateka atachukuliwa mateka. Na yeyote aliyeandikiwa kwa upanga atakufa kwa upanga. \v 12 Kisha nitawasha moto katika mahekalu ya miungu ya Misri. Nebukadreza atawachoma na kuwashika. Atasafisha nchi ya Misri kama wachungaji wanavyosafisha wanyama waharibio nguo zao. Ataenda nje kutoka eneo hilo kwa ushindi. \v 13 Atavunja nguzo za mawe huko Heliopolisi kwenye nchi ya Misri. Atachoma mahekalu ya miungu ya Misri."
\v 11 Kwa kuwa atakuja na kuvamia nchi ya Misri. Yeyote aliyeandikiwa kifo atakufa. Yeyote aliyeandikiwa mateka atachukuliwa mateka. Na yeyote aliyeandikiwa kwa upanga atakufa kwa upanga. \v 12 Kisha nitawasha moto katika mahekalu ya miungu ya Misri. Nebukadreza atawachoma au kuwateka. Atasafisha nchi ya Misri kama wachungaji wanavyosafisha wanyama waharibio nguo zao. Ataenda nje kutoka eneo hilo kwa ushindi. \v 13 Atavunja nguzo za mawe huko Heliopolisi kwenye nchi ya Misri. Atachoma mahekalu ya miungu ya Misri."