Fri Sep 16 2022 12:50:57 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-16 12:50:59 +03:00
parent 9f80a23ea2
commit 0065d5ab3c
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Lakini palikuwa na wanaume kumi miongoni mwao ambao walisema kwa Ishmael, " Usituue, kwa kuwa kuna riziki zetu kwenye shamba: ngano na shayiri, mafuta na asili" Kwa hiyo hakuwauwa pamoja na rafiki zao wengine. \v 9 Kisima ambacho Ishmael alitupa miili yote ya waliokufa ambaye yeye na Gedalia waliwapiga, kilikuwa ni kikubwa kilekile ambacho mfalme Asa alichimba wakati alipokuwa akivamiwa na mfalme Baasha wa Israeli. Ishmaeli mwana wa Nethania alilijaza na wale ambao walikuwa wameuawa.
\v 8 Lakini palikuwa na wanaume kumi miongoni mwao ambao walisema kwa Ishmael, " Usituue, kwa kuwa kuna riziki zetu kwenye shamba: ngano na shayiri, mafuta na asili" Kwa hiyo hakuwauwa pamoja na rafiki zao wengine. \v 9 Kisima ambacho Ishmael alitupa miili yote ya waliokufa ambaye yeye na Gedalia waliwapiga, kilikuwa ni kikubwa ambacho mfalme Asa alichimba wakati alipokuwa akivamiwa na mfalme Baasha wa Israeli. Ishmaeli mwana wa Nethania alilijaza na wale ambao walikuwa wameuawa.

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Badae Ishmael aliwashika watu wengine wote ambao walikuwa huko Mizpa, mabinti wa mfalme na watu wote ambao walikuwa wameachwa huko Mizpa ambayo Nebuzaradani mlinzi mkuu alikuwa amewakabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikam. Basi Ishmael mwana wa Nethania aliwashika na kuvuka kwa watu wa Ammon.
\v 10 Badaye Ishmaeli aliwashika watu wengine wote ambao walikuwa huko Mizpa, mabinti wa mfalme na watu wote ambao walikuwa wameachwa huko Mizpa ambayo Nebuzaradani mlinzi mkuu alikuwa amewakabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikam. Basi Ishmael mwana wa Nethania aliwashika na kuvuka kwa watu wa Ammon.

View File

@ -38,6 +38,7 @@
"finished_chunks": [
"41-01",
"41-04",
"41-06"
"41-06",
"41-08"
]
}