sw_jer_text_reg/51/38.txt

1 line
350 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 38 Wababeli wataunguruma kwa pamoja kama wanasimba. Watanguruma kama watoto wa simba. \v 39 wanapokuwa moto kwa hasira, nitawafanyia sherehe; nitawalewesha hata wafurahi, na kisha kulala usingizi usio na mwisho hata wasiamke--hili ni tamko la Yahwe-- \v 40 nitawapeleka chini kama wanakondoo kwa mchinjaji, kama kondoo dume pamoja na mbuzi majike.